Nina mpenzi wangu anayefanya kazi Morogoro, mwezi march alikuja kunitembelea sababu alikuwa likizo na alikaa kwangu wiki 2 na siku 3 tangu afike. Alishikwa na malaria kali ikabidi niombe ruhusa kazini ili nimuuguze.
Kiukweli nilimpa kila kitu anachotakiwa kupewa mgonjwa including dawa,vyakula vilivyopendekezwa na daktari na vyakula alivyopenda mgonjwa, pamoja na gari kumpeleka hospitali au sehemu yoyote aliyopenda ili kumliwaza mgonjwa. Mungu akasaidia akapona na amerudi morogoro.
Lakini cha ajabu juzi ananiambia sikumjali alipokuwa anaumwa sababu sikuwahi kumletea kadi ya get well soon pamoja na Mauwa kama wenzake wakiumwa wanavyofanyiwa. Ebu nisaidieni kadi na maua tu ndio mtu akujali?
ni mtazamo wake
ReplyDeleteMwambie akatafute atayemjali basi, wenzie wanaitafuta bahati hiyo hawaipati. Huyo atakuja kukusumbua sana baadae achana naye.
ReplyDeletenadhani usimlau sana ila umejifunza what she want when sick nadhan usingeshindwa kununua kadi wala maua kaka sema hukuwa aware on the matter.ma experience u could do big ths to ur woman bt she may blame with little thing.foristance huwa sina tabia ya kupga simu just for a hi bt my woman blame as kama hatujaamka wote.
ReplyDeleteMnapenda kuiga kila cha watu weupe kule kwenu kinole mambo hayo yapo?
Deleteachana na usenge huo
ReplyDeleteHajielew huyo'
ReplyDeleteWewe ndio una malaria
ReplyDeleteTena Una malaria kali Sana..pata ushauri wa doctor..huna issue;
ReplyDeleteSo what..huna issue.
ReplyDeleteAchana nae huyo kama ni kweli lakin hana shukran na anaonekana sio mwanamke mwenye ku apriciate of what u ev done!sio mke unaweza kujuta ukioa.
ReplyDeletekwani maua na kadi ndo dawa aende zake huko
ReplyDelete