Huyu Mwanamke Kanishangaza Sana..Haridhiki !!


Nina mpenzi wangu anayefanya kazi Morogoro, mwezi march alikuja kunitembelea sababu alikuwa likizo na alikaa kwangu wiki 2 na siku 3 tangu afike. Alishikwa na malaria kali ikabidi niombe ruhusa kazini ili nimuuguze.

Kiukweli nilimpa kila kitu anachotakiwa kupewa mgonjwa including dawa,vyakula vilivyopendekezwa na daktari na vyakula alivyopenda mgonjwa, pamoja na gari kumpeleka hospitali au sehemu yoyote aliyopenda ili kumliwaza mgonjwa. Mungu akasaidia akapona na amerudi morogoro.

Lakini cha ajabu juzi ananiambia sikumjali alipokuwa anaumwa sababu sikuwahi kumletea kadi ya get well soon pamoja na Mauwa kama wenzake wakiumwa wanavyofanyiwa. Ebu nisaidieni kadi na maua tu ndio mtu akujali?

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ni mtazamo wake

    ReplyDelete
  2. Mwambie akatafute atayemjali basi, wenzie wanaitafuta bahati hiyo hawaipati. Huyo atakuja kukusumbua sana baadae achana naye.

    ReplyDelete
  3. nadhani usimlau sana ila umejifunza what she want when sick nadhan usingeshindwa kununua kadi wala maua kaka sema hukuwa aware on the matter.ma experience u could do big ths to ur woman bt she may blame with little thing.foristance huwa sina tabia ya kupga simu just for a hi bt my woman blame as kama hatujaamka wote.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mnapenda kuiga kila cha watu weupe kule kwenu kinole mambo hayo yapo?

      Delete
  4. achana na usenge huo

    ReplyDelete
  5. Hajielew huyo'

    ReplyDelete
  6. Wewe ndio una malaria

    ReplyDelete
  7. Tena Una malaria kali Sana..pata ushauri wa doctor..huna issue;

    ReplyDelete
  8. So what..huna issue.

    ReplyDelete
  9. Achana nae huyo kama ni kweli lakin hana shukran na anaonekana sio mwanamke mwenye ku apriciate of what u ev done!sio mke unaweza kujuta ukioa.

    ReplyDelete
  10. kwani maua na kadi ndo dawa aende zake huko

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad