Huyu Ndio Shosti Mpya wa Wema Sepetu Baada ya Kumtema Kajala

Wakati kajala akiwa bado amem-miss Best yake Wema Sepetu na kusubiri kwa hamu siku ile ifike waweze kusuluhisha tofauti zao, huku nyuma ushosti wa Wema na Mwigizaji mwenzie maarufu kama AutyEzekiel ndio kwanza unapamba moto, ukiwa una ambatana na kutumiana zawadi kama hizo hapo, ushostito wao huo umezidi kufana baada ya bifu hilo kati ya Wema na Kajala.
Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. We subiri tu somo lazima atamtomba Shangazi ezekia tu na hapo ushost ndo utaisha.

    ReplyDelete
  2. Bora aunt sio yule jenny kichwa malaya mwizi wa waume za watu uliza shinyanga mwanza dar kachafua wema kaa mbali na jenny utajuta

    ReplyDelete
  3. Ndo msimu...utapita!

    ReplyDelete
  4. Sometime na nyie waandishi ni wachochezi sana!!! "Eti ushostito umezid kufana baada ya bifu hilo'' jamani kwani mwanzo haukufana????acheni kuwafanya watu wachukiane!!

    ReplyDelete
  5. Afu Media ndo wachonganishi wakubwa wa wasanii,Kajala alivoanzisha urafiki na maadui wa wema Mliandka ivo?mana nyie wenyewe ndo mlipost picha zao kajala akiwa na PENNY NA WOLPER afu hapa mnamchafua dada wa watu acheni kujiingizie pesa kwa blablaa STFU

    ReplyDelete
    Replies
    1. bora...maana kajala big.No,kajala holle..

      Delete
  6. na nyie waandishi mnachefua kila ck mambo ya watu acheni watu wafanye yao na maisha yao hamna mambo mengine ya maana lo!mara kajala mara wema mara aunt waacheni na mambo yao kesho wakipatana je?

    ReplyDelete
  7. Kajala mbwaaaa tuuuuu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad