Hivi karibuni Tumesikia Video Mbali Mbali zikifungiwa na mamlaka husika kuchezwa kwenye Vituo vya TV hapa East Africa lakini cha kushangaza hizo hizo Video zilizofungiwa kwetu zinachezwa kwenye Vituo vikubwa vya kimataifa, Mfano mmoja wapo ni Video ya hivi karibuni ya kundi la Souti Soul ya wimbo unaitwa Nishike ilipigwa marufuku Kenya lakini cha ajabu inachezwa Channel O ya South Africa..Je Mamlaka Husika za Nchi zetu zimepitwa na wakati ?
Wakati huo huo kuna Swali nalojiuliza kila siku unakuta TV za Hapa ndani wanapiga nyimbo za nusu utupu za wanamuziki toka nje vizuri kabisa lakini za wasanii wa kwetu unakuta hata si za nusu uchi ila unakuta mdada kazungusha mauno kidogo tu eti Video inapigwa marufuku mbona hizo za kina Beyonce hamzizuiii?
Inakuwaje Video zinazofungiwa Kwenye TV za East Africa ni Deal Vituo vya TV vya Kimataifa
6
May 19, 2014
Tags
kwel kabisa wasanii wanaonewa
ReplyDeleteTz nchi ya maadili uo ukahaba wenu peleka huko
Deletetulinde maadili yetu,
ReplyDeletetz tudumishe utamadun wetu lakin manjonjo muhimu au siyo
ReplyDeleteusenge wamamlaka.
ReplyDeleteTz ina maadili ya mdomoni, kwenye vitendo zero. zile za nje mnazifanyia uhariri au mnakurupuka tu mkiona msanii fulani kuatoa kutu tofauti,mitandao ya kufisadi,picha za ngono,mbona hamfuatilii.
ReplyDelete