MOYO unauma! Baada ya kutukanwa matusi ya nguoni kwenye mitandao ya kijamii na blogs, kwa mara ya kwanza staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe amefunguka na kudai kwamba amechoka kutukanwa kila kukicha lakini pamoja na hayo yote hatingishiki kwa lolote.
Habari zilieleza kuwa kwenye mitandao ya kijamii hasa Instagram, Wolper amekuwa akitukanwa kila kukicha huku tetesi zikizagaa mtaani kwamba mwanadada huyo ni msagaji. Matusi hayo yalikwenda mbele zaidi na kudai kuwa kutokana na tabia yake ya usagaji ndiyo maana hataki kumweka hadharani mwanaume wake.
Akizungumza na Ijumaa Wikienda, wikiendi iliyopita, Wolper alisema kuwa ni kweli amechoka lakini anawaachia nafasi watu wanaomchafua kwenye mitandao na hatishiki kwa lolote kwani maneno yao siyo ya kweli na kamwe hatamtangaza mpenzi wake kama ilivyokuwa zamani.
“Watukane sana, waseme mimi ni mwanaume lakini mimi ninatambua ninachokifanya, wakichoka wataacha. Kamwe sipo tayari kumweka mwanaume wangu kwenye vyombo vya habari, unajua kwenye mitandao kuna uchonganishi mwingi sana na mtu usipokuwa makini utajikuta ukimchukia mtu bila sababu kutokana na watu kuwa na mitazamo mbalimbali,” alisema Wolper.
Stori: GLADNESS MALLYA, GPL
Jackline Wolper"Nimechoka Kutukanwa Kila Kukicha"
7
May 05, 2014
Tags
hahahaha mm napita tu.
ReplyDeleteWewe kila siku unapita tu?kwan njia hii shauri yako utapitiwa mjini hapa.
DeleteApitiwe mara ngapi ndg yangu wakati kila siku anapitiwa tigo huyo kima
Deleteyan uyo n fala 2 kazoea kupitiwa huko et na hapa anapta aangalie acje ptiwa kuingia geto kwang ndamptia nyuma huko nitoe malinda
ReplyDeleteNyie nanyi watu wazima ovyooo..nnacha kuchangia topic husika mnnanza kuleta pumba zenu..stupid
ReplyDeleteNdio kazi ya midomo ya watu waliokosa kazi wolper usijali maneno yao kwani binadamu ukimfikiria kwa anachokutendea hutafanya lolote utabaki kuumia rohoyako na kazi utashindwa kufanya domo jumba la maneno mpendwa
ReplyDeleteJack ulikua kipenzi cha wengi mnoo na ulikua unaonekana msichana mwenye kujiheshimu na kujithamini. Ila imekuja kua tatizo pale ulipokosa control kwenye mitandao ya kijamii hasa Instagram. Umejiachia nayo vibaya mno na umewapa sana nafac watu ya kukujua vizuri. Pili umekua mswahili kwa kupost majungu ndio maana hadhi yako imeshuka. Jarbu kutokua mgonjwa wa mitandao ya kijamii utaheshimika kama mwanzo na pia post constructive issues mama
ReplyDelete