Jamani Kuleni Nyama ya Panya..Ina Vitamin Muhimu Kwa Binadamu

Nimesikia kwamba panya wana vitamin, huyu mama amekuwa wa kwanza kuitikia wito wa kula wanyama hao wadogo ambapo anawatengeneza kwa ustadi mkubwa. Haramu kwako halali kwa mwenzio

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. he jaman wapi hapo ctaki kuamini kama ni TZ!!! haaaaaaa

    ReplyDelete
  2. Watoeni bwanaaaa wengine tukiwaona tunasikia kichefuchefu

    ReplyDelete
  3. Mimi nishawahi kula panya nyama yake ni tamu sana usisikie.

    ReplyDelete
  4. Itakua Asia huko ndio hawachagui vyakula!

    ReplyDelete
  5. wachina hao ndio mambo yao.

    ReplyDelete
  6. Si wamakonde its one of our tradition food!

    ReplyDelete
  7. hata wawe watamtu vipi siwezi kula ng'o

    ReplyDelete
  8. Ukila nyama ya panya dengue hakupati

    ReplyDelete
  9. Ukila nyama ya panya hipati Ukimwi...utakula huli?

    ReplyDelete
  10. Hapa hapa TZ kuleee kulikoibuka gas ya asili wenyewe wanawaita chamaki nchanga

    ReplyDelete
  11. Nakula kwan ni xumu

    ReplyDelete
  12. kuleni bhana ndo kuku ya kimakonde kama mlikua hamjui

    ReplyDelete
  13. Duh wamakonde hapo mpango mzima

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad