HomeMapenziJe, Kufanya Mapenzi, Ndio Kipimo cha Kuamini Kuwa Mpenzi wako Anakupenda? Je, Kufanya Mapenzi, Ndio Kipimo cha Kuamini Kuwa Mpenzi wako Anakupenda? 12 Udaku Special May 09, 2014 Je, kufanya mapenzi, ndio kipimo cha kuamini kuwa mpenzi wako anakupenda? A: Ndiyo B: Hapana Tags Mapenzi Newer Older
unajua wanawake watasema hapana,lakn ukipa jibu la hili naomba uulize kuwa kutoa pesa ni kipimo cha kuamini kuwa mpenzi wako anakupenda?
ReplyDeleteYah swali zuri sana mdau!
DeleteNdio sasa ulimwowa wa nini, ulipenda penzi lake. Izibe uone kama utakaa nae.
ReplyDeleteNdio
ReplyDeleteKabisa!akikunyima akupendi na anataka akuchune tu!
ReplyDeletendio
ReplyDeleteBaaaaaath tuko pamoya papa ndo evertting
ReplyDeleteUwo ni ukweli kabisa, Penzi ndo kipimo tosha.
ReplyDeleteKwa mwanawake umtombe vzr na hela umpe, ndo unampenda
ReplyDeletendio manaake
ReplyDeleteHapana/Ndiyo
ReplyDeletehaswaaa mengine maigizo tu
ReplyDelete