Johari:Ray Hawezi Kumuoa Chuchu Hans Hata kwa Dawa

Blandina Chagula ‘Johari’, juzikati alifunguka kwamba watu waachane na kusikiliza habari za matapeli wa mapenzi, maana suala la Vicent Kigosi ‘Ray’, kumvisha pete mchumba wake wa sasa Chuchu Hans si la kweli na kwamba huo ni utapeli

Akizungumza Ijumaa Mei 13, mwaka huu Johari alisema hana taarifa zozote za Ray kumvisha pete Chuchu na wala hatarajii kusikia tukio la wawili hao kuoana limefanyika.

“Mmh…unasema Ray kamvisha pete Chuchu...! Hakuna jambo kama hilo wewe, achana na matapeli maana hakuna ishu kama hiyo na Ray hawezi kuoa kwa muda huu.”

“Kwani suala la kumvisha pete na kutoa mahari lilifanyikia wapi maana kama kweli kuna mazingira hayo basi atakuwa kafanya kwa kificho sana.”
Na Musa Mateja, GPL

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. johari kwani ukipiga kimya utapungukiwa nini.. unaonyesha jinsi gani unavyoumia

    ReplyDelete
  2. Get over him biyatch

    ReplyDelete
  3. Hahaaaa johari umechemsha mdada mwenzetu get busy kimyaaa

    ReplyDelete
  4. We ni Likuma likubwa kweli..unagongwa na mashetani.

    ReplyDelete
  5. Wewe ni Albino ama?mkorogo umekuharibu sana Malaya wa mjini,hebu angalia tofauti ya uso na Miguu..huna mpya Malaya.

    ReplyDelete
  6. du kweli uyu demu najichubua ona miguu yake htr

    ReplyDelete
  7. http://cashnjob.com/index.php?refer=109808

    ReplyDelete
  8. watajiju...kugombania ukimwi tu basi......anahumia kuliwa kiboga unafikiri mchezo.....

    ReplyDelete
  9. Johari sie tunasubiri na weye kuvikwa pete na mzungu wako ulotutangazia

    ReplyDelete
  10. Tunangoja ndoa ya johari na ostadh juma na musoma

    ReplyDelete
  11. wewe unaetukana kuma, wewe ulitoka kwenye mkundu wa baba yako? kama baba yako alifilwa akakuzaa sawa pumbu wewe

    ReplyDelete
  12. Johari dadadngu ndo ujue bongo hakuna mapenz ya dhati ni tamaa tu zinawasumbua,Ray kashakutema unachoumia nini kumvisha pete mwenzako? Tafuta mnyonge na ww umgongee ndo bongo hii.JACK hapa!

    ReplyDelete
  13. Johari dadadngu ndo ujue bongo hakuna mapenz ya dhati ni tamaa tu zinawasumbua,Ray kashakutema unachoumia nini kumvisha pete mwenzako? Tafuta mnyonge na ww umgongee ndo bongo hii.JACK hapa!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad