Kaburi la Shehe Yahya Lajengwa Kikristo, Familia Yang'aka na Kusema Haya

MAKUBWA! Kaburi la aliyekuwa Mnajimu Mashuhuri Afrika Mashariki, marehemu Shehe Yahya Hussein limejengwa tena baada ya hivi karibuni kubomolewa na watu wasiojulikana, lakini sasa limedaiwa kujengwa Kikristo na chini ya kiwango!

Akizungumza na Risasi Jumamosi juzi jijini Dar, msemaji wa familia ya Shehe Yahya, Maalim Hassan Yahya Hussein alisema kaburi hilo lipo kwenye Makaburi ya Tambaza karibu na Hospitali ya Muhimbili, Dar sanjari na lile la marehemu Shehe Kasim Bin Jumaa.

Alisema makaburi yote yalibomolewa wakati wa Operesheni Safisha Jiji ambapo serikali kupitia kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadik alikataa jiji kuhusika.

Hata Maalim Hassan alikiri si serikali iliyoyabomoa makaburi hayo bali ni wahuni wachache, lakini akasema mkuu wa mkoa aliahidi kwamba serikali itayajenga upya tena kwa kuyaboresha.

Familia hiyo ikasema inashangazwa makaburi hayo kujengwa katika mfumo wa makaburi ya Kikristo jambo ambalo halitoi picha nzuri kwa sababu wako watu wanatoka nje ya nchi kuja Tanzania kutaka kuliona kaburi la Shehe Yahya.

FAMILIA KUBOMOA
“Makaburi yale yalitakiwa kujengwa kwa kutumia kokoto maalum ziitwazo ‘mable’ na kulikuwa hakuna sababu ya kujenga ngazi ambazo watu wanaweza kukaa kama kaburi la marehemu Steven Kanumba.
“Kama marehemu alipokuwa hai hakukaliwa kwa nini akiwa amekufa akakaliwe akiwa ndani ya kaburi? Kule ni kumkosea heshima.

“Sisi kama familia tumeamua kwamba, lazima tuyabomoe makaburi yote, la baba na lile la marehemu Shehe Kassim siku ya Jumamosi (leo) na kuyajenga upya tutakavyo sisi tena kwa gharama zetu, serikali  ibomoe matofali yao,” alisema Maalim Hassan.

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. c mjenge kabur la kiislam, kelele za nin

    ReplyDelete
  2. Mbona mko kama mwaweweseka au watoto wadogo.....yamebomolewa sawa....yamejengwa kwa heshima bado hamridhiki.....ya nini kutaja dini nyingine wakati kiroho safi yamejengwa...ingekua vizuri wangezikwa kwenye mashamba yao au....vijijini mwao mana hao ni watu mashuhuri....na hapo tambaza miaka ya baadae patavunjwa tuu ni mjini sana jiji inabidi lijengeke...na hapo ni hot ni kona.....tubadilike tuache vijimaneno vya chuki na kejeli....dini zote zinahimiza upendo,amani,kusaidiana,kupendana....tofauti ni mienendo tuu maisha yale yale...kuna idd el hajj..kuna idd el ftr..kuna xmass kuna pasaka..kuna kwa rezma mfungo...kuna ramadhani mfungo.....tazama zanzibar kuna kikundi cha kiislamu cha uamsho..zaire kuna makanisa ya uamsho vilevile....tofauti ni kwamba uamsho zanzibar wanahimiza vurugu kudai eti wanadai haki wakati hata kwa njia ya amani haki inapatikana...ila uamsho zaire wanahimiza watu kufanya maombi kumkimbiza shetani mbaya na kuombea amani kila kona ya zaire na afrika na dunia..maendeleo...watu kufanya kazi na kuacha kubweteka kwa jina la YESU...+255717337536

    ReplyDelete
  3. poor understanding

    ReplyDelete
  4. mmezoea vurugu ndo mana kutwa kuchwa mnazalisha makundi e.g al shabab, al qaida, taliban, boko haram... E.tc

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hawa watu ni wasenge bana sasa hawajui ukristo kila kitu. Iwe elimu . Kuvaa. Sherehe zote . Kujenga nyumba wanaiga wakristo. Sasa kaburi ni nn ?

      Delete
  5. shit awo makafiri

    ReplyDelete
  6. Mbona Wakati Yanajengwa Hawakuelekeza Wakasubiri Yamemarizika Ndo Waseme Sasa? Hao Mashehe Walitaka Wapewe Pesa Mkononi Wapate Ten Percent Ndo Maana Wanataka Wajenge Upya Ili Wachangiwe Wapate Kula Yao

    ReplyDelete
  7. Mbona Wakati Yanajengwa Hawakuelekeza Wakasubiri Yamemarizika Ndo Waseme Sasa? Hao Mashehe Walitaka Wapewe Pesa Mkononi Wapate Ten Percent Ndo Maana Wanataka Wajenge Upya Ili Wachangiwe Wapate Kula Yao

    ReplyDelete
  8. Dini ni namna mwanadamu anavyotakiwa aishi.namna hiyo ni vile ambavyo anavyotaka mwenyezi mungu.dini ni mfumo wa maisha ya mwanadamu anaoutaka mwenyezi mungu.kuishi ni ibada.mfumo wowote wa maisha lazima uwe na vitu kama vile sheria,Mila,katiba,mifumo ya kiambiashara n.k.ikiwa dini yako haijakufahamisha namna ya kila jambo linavyotakiwa kufanya,undoka huko.dini ni ile inakufahamisha namna ya Kula,kuvaa, n.k.hapo ndio baina ya uislam na dini zingine banapotokea utofauti.hakuna ambacho muislamu anafanya duniani hajaagizwa na mola wake namna ya kulifanya. Ndio maana uislamu umekamilika kama mfumo wa maisha bila usaidizi wa mifumo mingine.harakati ndio zinaendelea na mapambo yanaendelea mpaka mifumo yote ya kikafiri itaondoka na mfumo sahihi wa uislamu utatawala na ufisadii utaondoka na maisha yakuwa mazuri inshaallah. Ya rabbi wajaze nguvu mujjahid kote duniani na uwahurumiea.....aaamiiiiin

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad