Kafulila Afichua wizi wa Bilioni 200 za Tanesco BOT

Kwa mara nyingine tena serikali sikivu ya Kikwete imefanya kweli kwa kuiba fedha takribani Billion 200 za Tanesco BOT.

Gavana wa BOT amefunguka na kudai kuwa alishinikizwa ili kuzitoa fedha hizo.

CCM inaendelea kutafuna nchi hii, Kikwete mpaka aondoke lazima tutakuwa hohehahe.
Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kikwete anaishi wapi siku hizi ,nchi za nje au hapa hapa Tanzania? Mashangingi mapya 11 mali ya Tantradealiyokwiba nndugu yake Ramadhan Khalfan ni zaidi ya bilion mbili.

    ReplyDelete
  2. Tanzania eeee nchi yangu eee nakupenda.
    Hellow hello tanzania, @ 50
    Nakupenda kiwete nakupenda chichi em

    ReplyDelete
  3. Where is Tanganyika!

    ReplyDelete
  4. Tz inatisha ..kunaa watu wanatafuna nchi hii Kama mchwa...bil 200 kimya kimya...HATARI !

    ReplyDelete
  5. The system is too dengeraus

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad