Kama Ulikuwa Unamchukulia Poa Diamond, Jipange Sana..Hii Ndio Gharama Yake

Diamond Platnumz atazidi kuwa si msanii tu wa kawaida bali ni moja kati ya wasanii wengi wa kimataifa.ukiacha pesa anayotoza treatment na mahitaji yake hadi kumpandisha kupiga show moja si ya kitoto, kaa utulie usikilize mahitaji haya ya Diamond: Kwanza bila kumtonyesha kuanzia milioni 45 kwenda juu, utaishia kuongea naye kwenye simu tu, bila hata ya kuona sura yake, achana na hiyo basi kwanza kama umeshatenga hilo fungu na kufanikisha kumuita kupiga ku-sign contract yake, inabidi umsafirishe kwa private jet au first class plane, akishatua uwe umeshandaa presidential suit katika hoteli yeyote yenye 
hadhi ya nyota tano, kama ni Bongo ni Serena hotel pale wakati huohuo uwe umashatenga vyumba maalumu vikubwa kwa ajili ya team yake wakiwemo Dancers,camera man,dj , mlinzi wake na msaidiz, microphone ya pekee na vyakula atavyohitaji yeye, viwe teyari umeshaweka order vitengenezwe, kama 
anavyotaka yeye.

(U-ghari wa diamond unatokana na yeye mwenyewe kuwa brand kubwa, anauwezo wa kujaza uwanja peke yake,lakin pia maandakiz ya kaz zake,nyimbo ama video,hu-invest gharama kubwa,mfano number 1 video orignal na rmx ilitumika zaidi ya million 80,lakin pia ana team aliyowaajili anahitaj awalipe )

Kama ulikuwa unamchukulia Dangote easy, jipange!.

Post a Comment

39 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. haha na kweli wajipange sana

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hakuna wakukufikia mzaz

      Delete
  2. jamani neema hebaristi ni matapeli. wameshatapeli watu wengi. wanadanganya kina dada kuwa wana dawa ya kuongeza makalio, ni uongo. hapa dar wengi wamelizwa. mikoani ndo usiseme. acheni kabisa.

    ReplyDelete
  3. kweli kabisa mdau mademu wa malimbe wapenda wowowo! mza wamelizwa sana. ila kesi yao iko polisi wanafuatiliwa. kwa kujipatia kesi kwanjia ya utapeli.

    ReplyDelete
  4. inabidi selikali iifatilie hyo kampuni, wakisaidizana na kampuni ya cm. wana namba yao inaishia na 84 ndio hutumika kwa kutapeli akinadada. matapeli kama hawa inabidi watafutwe na wajibu mashitaka kwa mujibu wa shelia.

    ReplyDelete
  5. mdau juu upo sawa. nchi isiendeshwe na matapeli.

    ReplyDelete
  6. Wadau hapo juu yanahusianaje na Diamond aliwaambia anataka makalio makubwa au, yaana linaanza moja linashoboka na wengine wanafuata, kazi kweli kweli

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ukiona hivyo hawanampango wakuchangia hbr za dangote ndiomana wameleta story zngne.so achana nao we endelea kuchangia kwa dangote km VP.

      Delete
  7. Kweli mdau majitu mengine vp diamond thamani yake iko juu.walio nagere walegelege

    ReplyDelete
  8. matapeli wote kama neema hebarist wote tia ndani.

    ReplyDelete
  9. Sasa kama thamani yake kubwa inatuhusu nn ss wakati mlalahai anakula mlo moja kwa sk!jaribuni kutoa mada za kujinasua ss watanzania tulio wengi na umaskn wetu!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sasa diamond ndio anayesababisha ale mlo mmoja kwa siku au serikali yenu ya kifisadi?

      Delete
    2. Hakuna ukweli hapo.propaganda tuu

      Delete
  10. Kaburini nako atakwenda na first class?

    ReplyDelete
  11. Sio kufika mwesho atapanda punda.mshamba kwenye ndege pia sandglass

    ReplyDelete
  12. hata kaburi lake litakuwa first class wataweka air condition, sofa, flat screen na vyakula A class

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahaaa mbavu zangu.....anonymous 5:39am...u've said it ....hata mbinguni ataenda first class au private jet.

      Delete
  13. nani ajipange sasa nyinyi co mnampaisha paisha kibata huyo domond wenu hebu kaeni mbali shenzi we ngoja ck atakuja kusema anataka mwanaume wa kumchenga na mtampa c nyie hamuwaz endeleen na ujinga wenu huo

    ReplyDelete
  14. na mbinguni atakuwa sehem first class

    ReplyDelete
  15. mungu atamwandalia hotel nyota 5

    ReplyDelete
  16. zumzum sura ya mauzo kwa dada yk12 May 2014 at 16:22

    dogo noma sana kazoa tuzo 7 mbele ya wakongwe Ali K for Rael na watu kibao respect kwa dogo anaweza kiukweli kula ujana dogo

    ReplyDelete
  17. sasa mbona hatumuoni kua na maendeleo yoyote zaidi ya kujikweza tuu

    ReplyDelete
  18. Kumbe jaguar alimtoa ushamba?.. Sasa mi namshauri uyo dmnd usishindane na jaguar, jaguar si msanii tu bali ni businessman vile vitu anavyo miliki jaguar we huwezi kumiliki, sasa diamond we bado mchanga sana ndio mwanzo waanza, sasa wataka kujifananisha na kina Rkelly, utazoroteka usiamini?.

    ReplyDelete
  19. anunue ata ndege yake binafsi yakumzungusha bac tutajua kweli anahela siyo kumpaisha tu tumechoka tunataka vitendo siyo promo tu

    ReplyDelete
  20. yaaa mdau siyo maneno mengi mala ana pesa nyingi azituhusu matendo ndiyo tutajua anapesa

    ReplyDelete
  21. sijui anawapa pesa ili wamkuze maana lile gari la ngulumo marehemu kumbe akumpa yeye kuna mdau kapitia kwake kumpa ili waendelee kumpaisha

    ReplyDelete
  22. na ile v8 si alitangaza lake kumbe la chiff kumbe!!!! nyoko zake

    ReplyDelete
  23. huyo dimond na yeye anakaa nyumba ya 5 star au ya kupanga. mjipange nyie na dimond wenu kwanza. mxiuuuuuu

    ReplyDelete
  24. hee eheee yan mi nadhan huyo dimond akija kuporomoka kiuchumi watu watajambaaa!!!!!! hee cpat picha lkn mwache atumie muda wake hayo yote mapito (( ukipata tumia na ukikosa jutia))

    ReplyDelete
  25. Du bra ya mie nina ghorofa langu mbezi na nje ya nchi unakaa five star ukirudi nyumbani uko nyumba ya kupanga fruu

    ReplyDelete
  26. Du bra ya mie nina ghorofa langu mbezi na nje ya nchi unakaa five star ukirudi nyumbani uko nyumba ya kupanga fruu

    ReplyDelete
  27. Alipwe mil 45 alafu aazime v8 na akae nyumba ya kupanga.Wa tz mnapenda sana kukwezana uongo ndo maana hatuna Mtz celebrety hata mmoja.
    Alitaka kutokea Hashim Thabit lakini sasa amechemsha.Kwa stairi ya ku feki maisha hatuwezi kufika kokote .Tz hatuba celebrates hatammoja.kwa sababu celebrates mni lazima awe maarufu kimataifa na awe na ela
    Hatuna hata mmoja nitajie

    ReplyDelete
    Replies
    1. Atleast ww umeongea kweli, maana watz tunapenda sana kufake maisha..ki ukwel najua diamond ilimuuma sana kuchukuliwa ile v8 baada ya kuzunguka nayo mitaan na kudanganya watu eti keshailipia...hahaaaa diamond bana..alaf kitu kingne miaka yote hyo anaish mpk sasa nyumba ya kupanga.kwel hyo 45 inafanana na maisha anayoish..big NOOO

      Delete
  28. Napita Mimi.yangu macho.

    ReplyDelete
  29. hahaaa mbona raha wajameni tunataka vitendo km mastar wenzenu wa nje

    ReplyDelete
  30. wanashinda wanajiita mastaa.mastaa gani takataka.Hivi tungekuwa kama kenya ingekuwaje Wenye mastaa wa ukweli wakina Victor Wanyama, Oliech, Obama, Lufito.
    Si ingekuwa balaa? tungekisa hata sehemu ya kupita.Kweli Mungu ametuona Wabongo ndo Maana hamna staa gatammoja

    ReplyDelete
  31. kuma mako kenya...mkundu wewe una haya kutufananisha watz na hao mavi wa jalalani ..mkundu wewe sikupendi kama mavi yako

    ReplyDelete
  32. na kweli huyo amechanganyikiwa kutufananisha na wenye roho mbaya,ukabila uliyo kidhiri, wezi, waongo na wambea sana haijalishi mwanamke wala mwanaume, wachoyo wabinafsi, kujifanya much know, kujifunini kingereza na kutuponda ss watanzania kisa sistim yetu ya elimu ilikuwa mbaya kiasi,ndio kitu wanatuzaraulia na huku hawatupati hata kwa nukta, watanzania tumejaliwa upendo, hatuna ukabila kama wao, kwa sura tu tumejaliwa na roho nzuri pia kwa utajiri ndio usiseme japo sera sio nzuri sana mali iliyoko Tanzania kama uongozi ungekuwa mzuri hiyo mali iliyoko Tanzania ingeweza kulisha east africa nzima wao hawana kitu halafu wanalalamika obama kuja Tz alitaka aende wapi kule kibera kwenye changaa? NIN MENGI YA KUANDIKA JUU YA HAWA MANYANGAU INGEKUWA MIMI NI RAIS NINGEVUNJA HIYO EAST AFRICA COMMINITY YAANI NINA HASIRA NAO BASI NAISHI NAO HUKU UGAIBUNI NI WABAYA BALAA

    ReplyDelete
  33. Hatukuwaona mitume na tunawaabudu ije kukwa huyo domo kaya tunamuona upumbavu wake kila kukicha Upuuuuzziiii mtuuupu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad