mikoa kumi iliyoteuliwa
kilifanikiwa kumaliza zoezi la uhakiki mara baada ya kuruka vihunzi vingi toka kwa wahafidhina na watu wasiopenda siasa za ushindani. Katika zoezi letu tumekumbana na vikwazo vingi ikiwa pamoja na uchomekaji wa wanachama fake waliotumwa kwaajili ya kazi ya kujifanya wako tayari kuhakikiwa lakini kwa lengo la kutojitokeza siku ya kuhakikiwa, jambo ambalo wahafidhina na maadui zetu walikuwa hawajui ni kuwa chama chetu kinapendwa na wananchi hivyo wengi walijitokeza kiasi cha kuziba mapengo ya mamluki ambao kwa makusudi hawajajitokeza siku ya kuhakikiwa. Pamoja na hayo tunatambua wanachama wetu waaminifu waliotaka kujitokeza lakini sababu zilizo nje ya uwezo wao zilipelekea washindwe kujitokeza siku ya kuhakikiwa.
Karibu ACT-TANZANIA, wewe ndio mbadala wa CHADEMA na CCM.
Mungu ibariki Tanzania.
Semeni ni tawi dogo la ccm ili kupunguza upinzani!hamna lolote nyie unafiki na kujifanya mna uchungu na nchi hii kumbe mmetumwa na mafisadi ili mpunguze wanachama wa upinzani wagawanyike janja yenu imeonekana pale mlipo kuwa mamluki kupeleka taarifa kwa mafisadi dhidi ya Chadema kwakifup atakaye waamin nyinyi atakuwa hajawajua vizuri kama nyinyi ni ccm b!cha kujiuliza kunavyama viliwekewa pingamizi kusajiriwa ila nyinyi hamuoni eti mpaka mmevunja rekodi kwa kupata usajiri wakudumu kwa muda mfupi hamuoni kama nyinyi na ccm ni kitu kimoja?mtanganyika tafakari kwa makini kabla ya kuwafuata hawa watu mafisadi wananjia nyingi sana za kuwapumbaza walala hoi ili wao waendelee kuneemeka kifupi nyinyi ni vibaraka tuuu.
ReplyDeleteDuuh mdau hata mimi nahisi hivyo.
DeleteSi mwanachama wa chama chochote ila kwa hili ninawasiwasi.
wale bendera fuata upepo kazi kwenu, vyama kibao lkn upinzani hakuna na vitafika 100, na vipo kwa maslai ya vigogo
ReplyDeleteHiki chama mfadhili wake mkuu ni wassira,ni tawi la ccm hakuna ubishi.
ReplyDelete