Kuanzia Sasa Vigodoro Vimepigwa Marufuku Dar es Salaam

Jeshi la polisi kanda maalumu ya Dar es salaam limepiga marufuku ngoma za kitamaduni ambazo zimekuwa zikifanyika  nyakati za usiku kwenye maeneo mbalimbali Dar es salaam ikiwa ni muendelezo wa kukabiliana makundi ya kihalifu ambayo yamekua tishio kwa usalama wa raia.
Kufuatia kuibuka kwa makundi ya kihalifu kama Panya road na Mbwa mwitu ambayo wengi wao wanahusishwa na ngoma hiyo kwenye uporaji na upigaji wa watu, Kamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar es salaam Suleiman Kova anasema ‘ni marufuku kwa ngoma yeyote ya asili kuchezwa nyakati za usiku’

Kamanda Kova anasema kufuatia operesheni inayoendeshwa dhidi ya vikundi hivyo vya kihalifu, mpaka sasa tayari wanawashikilia wafuasi zaidi ya mia moja ambapo pia watu wengi wamekuwa wakilalamikia vitendo viovu vinavyofanyika nyakati za usiku wakati wa ngoma hizo maarufu kama ‘vigodoro’ pamoja ‘baikoko’ na sasa jeshi la polisi limetoa onyo kali kwa watakaoendeleza hizi ngoma kuanzia sasa.

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Safi sana kiongozi Kova,maamuzi ya busara jembe.

    ReplyDelete
  2. Kova wewe kweli nikamanda hasahawa wanaojiita mmbwa mwitu njoo kigogo darajani wannakoosha magari uje usikilize wananchi Wako wanavyoishi kwa tabu kwavitisho vyahawa vijitoto vinavyojiita mbwa mwitu na pants road ,tunakuomba kammanda njoo,askari wakowengine pia nihewatu hawanampango njoo kamandawetu kova,kibokoya wahalifu dar.

    ReplyDelete
  3. Tuna shukuru kama mme liona hili tuna sema ahsante kwa kukomesha uovu na uzinzi, maana hivyo vigodoro vilikuwa vina hamasisha uzinzi tu na kuongeza kasi ya maambukiz ya ukimwi

    ReplyDelete
  4. haya wazaram mmeckia???, marufuku na uzinzi wenu wa vigodoro vya ucku, mkacheze kwenu chalinze na msanga ukoooo

    ReplyDelete
    Replies
    1. We umewaona wazaram tu kumamayo msenge mkubwa au unataka kufirwa..

      Delete
  5. Kwa akili yako unadhani ni kabila gni ni wenyeji ws mkoa wa Da es Salaam?

    ReplyDelete
  6. Hawa kazi kubwa ni kupotosha jamiii na kuvunja heshma ya utamaduni ya m Tanzania....kamanda hwa jamaa wasiruhusiwe tena,hivi vikundi vivunjwe na kutokomezwa kabisa kabisaa....Inaskitisha kuwaona wadada wanacheza uchi ktk maharusi,ma chicken party kwa kisa cha burdan....Umefanya maamuzi ya busara kamanda...Hongera sana.

    ReplyDelete
  7. Na Madisco Nayo?Huko Ni Kushindwa Kazi

    ReplyDelete
  8. madisco sawanavigodoro?
    disco pesa bwana

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mdau umeona enhee..disco for educated pple like us...lol..so don't stop the partyyyyyyyyy...yeyoooooo...pills and portionss

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad