Kama mjuavyo, majirani zetu wanasumbuliwa na magaidi wa alshabaab ambao wako bize kulipua mabomu kila sehemu Kenya na kuifanya nchi hiyo kutokuwa salama tena.
Inasikitisha sana, lakini nadhani ni wakati sasa tutumie mwanya huu kudumisha amani yetu na kujitangaza kwa nguvu zote kwenye sekta ya utalii.
Tanzania ina vivutio vingi na vikubwa vya utalii zaidi ya Kenya, na kwa sasa nchi zote za magharibi zinawaonya raia wake wasiende Kenya. Kipindi cha holidays kwa nchi za magharibi ni kuanzia july, badala ya kwenda Kenya tuwavute kwetu.
Lakini serikali ibabidi idhibiti vidumu vya tindikali kule kwa wazee wa urojo...
Rem Tz aint far from kenya... de terrorists can strike u anytym too... so be warned
ReplyDeleteWe admin akili zako sio nzur acha kuchochea uoumbavu we unafurahia wenzako kivamiwa
ReplyDeletesio kufaana tu bali tuimalishe ulinzi kila kona
ReplyDeletewenye mamlaka na utalii ndio hao wanauza wanyama wakiwa hai sasa hapo unategemea nini?kwakifupi hakuna kiongozi yoyote mwenye uchungu na nchi hii kuanzia raisi mpaka viongozi wote wa ngazi za chin i labda maendele ni mpaka UKAWA ichukue nchi zaidi ya hapo wadanganyika msahau taka msitake viongozi wa ccm wanalindana sana.
ReplyDeletehata UKAWA ni walewale hamna jipya wana ukabila,, we subiri uone watavyokuja kuparaganyika
ReplyDeleteUmesha wajaribu lakin?nyinyi ndio wale watanzania wavivu na mawazo mgando kichwani!sasa tumpe nani kuma nyoko zako.
DeleteKenya wamelitafuta acha liwapate namsifu sana Kiketwe kwa kutoshiriki Somalia..
ReplyDeleteKufa kufaana, Tanzania itumie Wakati Huu wa Machafuko Kenya Kujitangaza Utalii.
ReplyDeleteAl-shabaab watazungukia nyuma ya mlima kilimanjaro si ndio mnawaita waharamia