Kukataza Boda Boda Kuingia Mjini ni Aibu Kwa Taifa na Kurudisha Uchumi Nyuma

Ki ukweli hili suala la Bado bado Kukatazwa Kuingia Mjini Bado Sijalielewa, Kwa Upande wangu naliona kama ni Propaganda ya Kutengeneza mianya ya rushwa kwa Hawa askari wa Barabarani kwani nimejionea mwenyewe jinsi wanavyochukua rushwa kwa hawa jamaa pale wanapowakamata mjini na hizo bado bado na kuachiwa bila kupelekwa popote...Ki ukweli Jiji la Dar kwa hali za Barabara zetu hatujafikia hatua ya kukataza bado bado kuingia mjini kwani miundo mbinu bado hairuhusu kabisa kutokana na tatizo la foleni , bado bado ni njia peke na mkombozi kwa hili tatizo la foleni, ili uweze kuwahi kazi ama biashara mjini saa zingine ni lazima uchukue Bado bado ili uwahi kuingia town, kwa hili mimi naona ni kama Kurudisha nyuma uchumi wa Taifa...Miji mikubwa huko nje mpaka leo wanatumia hiyo opportunity ya bado bado kufanya biashara popote pale lakini sisi hata miundo yetu ya barabara haijakaa sawa eti tunajifanya kukataza...Any way Embu na wewe toa Maoni yako kuhusu ili Swala tuone tunafika wapi.
Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. sema boda boda ww bado bado ndo nn ww ..?

    ReplyDelete
  2. Lkn cumeelewa mbwa ww kwan ww hukosei

    ReplyDelete
  3. Hizi bodaboda ni nzuri sana kama wakifatilia sheria barabarani lkn sasa hawa bodaboda wanatuletea maudhi watembea kwa miguu hii ndio shida kubwa sana na pia husababisha ajali mbaya sana mara kwa mara upande wa askari wa barabarani kweli wanapokea rushwa tena kila siku tunaona

    ReplyDelete
  4. Bodaboda kwamiji mikubwa hazinafaida nikero tu,zingekua maeneo ya wilayani vijinini siomijini hazifai ,kwanza asilimia 70 yawaendesha bodaboda hawana akili niwahuni niwezi hawanali maishayao na yawezao,nibora ziishie kimara hata magomeni pia mjini.

    ReplyDelete
  5. zipigwe marufuku kabisa sehemu zote za mjini, hawa vijana ni wapumbavu sana, hawana akili hata kidogo, ni wasumbufu tu, halafu wanajiona wao ndiyo wao, barabara ni yao, Pumbaf.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad