Kwa Muonekano Yupi Hapa ni Mbunge Mrembo Kuliko Wote

Urembo na mvuto kwenye macho ya binadamu huwezi kuvitenganisha. Wakati kule mjengoni Dodoma wakiendelea kupika bajeti ya serikali ya mwaka 2014/15, Over the Weekend tunakuletea Shindano la Nani Mbungwe Mrembo mwenye mvuto 2014?


Ukiwa shabiki namba moja wa safu hii unapata nafasi ya kutuma jina au majina ya wabunge wanaostahili kuingia kwenye kinyang’anyiro hiki. Andika jina la mbunge husika kisha tuma kwenda namba 0713 750 910. Kazi ni kwako.

Tags

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Halima Mdee wa chadema ndio mrembo kuliko wote.Ni mrembo Kimwili na kiakili.

    ReplyDelete
  2. mdee upo juu

    ReplyDelete
  3. halima mdee ndo mrembo namkubali sana!!!

    ReplyDelete
  4. Catherine yupo juuu.

    ReplyDelete
  5. Wote hawanizidi

    ReplyDelete
  6. We hapo juu ..acha wivu. ...Mdee bombs sn

    ReplyDelete
  7. Japo Wote Mafsadi Halima Mdee Ametisha Mzazi

    ReplyDelete
  8. Halima Mdee sn!!! I love you mamii

    ReplyDelete
  9. Mamaa LUCY OWENYA TISHA MBAYA

    ReplyDelete
  10. Lucy Owenya wengine wote uzuri wa carolite

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad