Wameshauliwa sana, wameimbiwa saaaana lakini wenye masikio ya kufa ambayo hayasikii dawa wanaendelea kupaka. Dada zetu jaman kama mungu kakuumba na vitako vidogo kama skonzi au ngumi za mtotovumilia tu. Hivi huoni aibu hata kidogo, leo unavitako vidogo kama vibumunda vya bakhresa kufumba na kufumbua una makalio kama umejazwa upepo. Huogopi hata watu watakustukia. Haya sasa kama unapenda hilo, jua na madhara yake pia...mwenzenu amebakisha makalio yaliyoumuka na kuvimba kama viazi vya kuchoma.
SI UNAUTAKA UZURI WA MATAKO, PAKA TUKUONE KAMA HAUTAKUWA NA MAKALIO YALIYOPISHANA SIZE.....NIMEMALIZA
duH hi kali pole nando mjue mungu aliumba hajakosea
ReplyDeletepole Dada ilajookwangu nikupe dawa
ReplyDeleteHAWA Malaya ngojawakome
ReplyDeletekumbe wema nae kakuza makalio yani yanafananaje na ya wema !hahahaha wakome
ReplyDeleteAcha wakome hata wananaume wanarefusha mbolo bolo kufirwa mkundu upate hela
ReplyDeleteJmaniii mungu anakaz na viumbe wake sie
ReplyDeletewapiiiii maimartha jeseee,
ReplyDeleteDuh ila tuongee ukweli, hiyo dawa ingekubali kwa huyu dada, ningemtafuta hadi nimpate!!
ReplyDeletenick minaj..alifanyia surgery..lulu wa eatv nae alipakaga kaumuka mwili mzima alikuwaga na mwili mzuri.
ReplyDeletekwanin mcjikubali, kwani kila m.ume anataka matako?, km ujajaaliwa c ubaki ivoivo ?, ndo mana mnapata kansa
ReplyDeleteHaaaaaa tena ebu baelezee baelewe )wengine ndokwanza wanapanga kukuza wa2lingishie ktaan
ReplyDeleteHusimkosoe Muumba wako kakuumba kwa kusudi lake
ReplyDeleteSawa kabisa mnajifanya nyie ni Mungu wa pili,kazi kwenu
ReplyDeleteyaani na bado, saiv dunia inapoelekea sipo kabsa kila alichoumba mungu anakosolewa si kope si matako wala kucha....... aya bwn mi manka wa kichaga ndo nshapigwa pasi na hata sina waswas .....kaz kwenu watt wa mjin.
ReplyDeletesaf sana ınabd ujıkübalı laxıvy ytakkuta kama yalo mkuta bı dada
ReplyDeletekapendeza ila madawa ayafai kansa hatari
ReplyDelete