Lady Jay Dee Aonyesha Zarau kwa Tuzo za Kill, Eti Hajui Kama Zimeshafanyika

Lady Jaydee alishinda tuzo mbili mwaka huu kwenye KTMA lakini kwasababu ambazo hajazisema,hakuwepo mwenyewe kuchukua tuzo hizo, shabiki yake akamuuliza kupitia twitter na Lady Jay Dee Akamjibu Kwani Zimeshafanyika? Akiwa na Maana Hajui kama Tuzo hizo zilishafanyika na Hajui kama Alishinda.....Mweeeeeeh

Post a Comment

19 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Zitakapotolewa tuzo zs kusema uwongo bunge la katiba kina nani watashinda?

    ReplyDelete
  2. Mshamba lady kumbe nae fara hanalolote mfyuuuu kumamake kwani ajui au ni kutafuta kiki
    Kwanza ananuka mavi.mse...n..gggg

    ReplyDelete
  3. Hizo chuki binafsi we msenge hapo juu. Ana khaki ya kutozifuatilia mwaka karibu sijui wa 10 anachukua hivyo vibati. Kachoka kujaza kutu ndani tuzo hats miaka miwili hazifikishi kutu thou....mshenzi weeee

    ReplyDelete
  4. we mjinga nini uliyemtukana jide tena ukome kumuita ivyo fal we

    ReplyDelete
  5. Love u jideeeeeeee,wenye chuki binafsi mjinyamazie.... Hueez kupendwa na watu wote jide..... Love u to death

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tumieni kauli za ustarabu. Matusi sio jambo zuri. Huwez kukosoa kwa kujenga hoja bila matusi?

      Delete
  6. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  7. sifungamani na upande wowote but to be honest jide kwa hilo Jibu kaonesha Dharau sana kwa mashabiki wake na hata kwa Waaandaaji wa tuzo!! na ni mara nyingi Jide huwa haji kwenye tuzo amekuwa akiwakilishwa na either Gadner au ChokaDJ. kama hamaind bora atamke tu wazi kuwa hataki-kama walivyotamka hadharani wenzake Dully Sykes, T.I.D Mnyama na hata Ally Choki-kuwa tumeshawajua wamejitoa na hawataki kushirikishwa so Jide ili kuondoa haya malumbano ya mashabiki zako ni bora utangaze rasmi kuwa hautaki kushirikishwa kwenye KTMA.

    ReplyDelete
  8. hata uwe msafi vipi mwenye pesa anadharau sana, ukichanganya na kabila lake ndo kabisa alitaka apate yeye zile saba lol

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwani hamjui kama anadharau jide ndivyo alivyo hatasishangai yekusema hvyo

      Delete
  9. marekebisho kwenye taarifa yako hapo juu: ni Dharau sio Zarau

    ReplyDelete
  10. Au alizitaka zile saba, lol jide kumbe nawe ni mshamba ivyo eti zimeshafinyika??? Lol jirekebishe dharau hazifai hasa kwa msanii kama ww unafikiri unawapa fikira gani waliokupigia kura bila wao ucngekuwepo hapo ulipo

    ReplyDelete
  11. Jide mshamba tu kwanza ashazeeka aende akalee wajukuu aachie watt hizo tunzo......

    ReplyDelete
  12. nyie mnaosema alizitaka zile 7 hamna akli,angekuwa na shida nazo siangeenda? jide kazichoka miaka yote anazisomba tu, acha akina domo wazigombanie,Mimi huyu huwa namwita jike la shoka

    ReplyDelete
  13. Mmmh ovyo matuc ya nini sasa

    ReplyDelete
  14. Best hiyo haiingii akilini hata kidogo,hata kama ungekuwa uko safarini kupiga show huko mwezin,naamini taarifa zingekufikia,,we ni snich 2..ni bora usishirikishwe tena.kwa sababu we ni kuzi sana.hzo pozi za kinyang'au.

    ReplyDelete
  15. Ashirikishwe kugombea vyuma chakavu!? Ndio maana haji Na hawezi poteza mud a kuja chukua mabati

    ReplyDelete
  16. kashachoka na tuzo hizo kila mwaka na pia hata hao akina dimond wakiendelea hvhv itafika miaka watachoka na kama kweli atamuoa wema basi atamtuma wema akamuwakilisheeee !!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad