LE MUTUZ" KAJALA JIRUDI MY SISTER MUOMBE MUNGU WAKO AKUSAIDIE UELEWANE NA WEMA"



@ LE MUTUZ SYSTEM LIVE STRAIGHT TALK!!:-
LEO I HAVE TO SAY SOMETHING KUHUSU VITA YA MY TWO SUPER FRIENDS SUPER STAR KAJALA NA WEMA SEPETU.

MIMI NI BAHARIA KWENYE UBAHARIA TUNA RULE NAMBA MOJA NAYO NI WE DO NOT BETRAY OUR FRIENDS NA HASA KAMA AMEKUSAIDIA UKIWA NA MATATIZO, NA BINADAM YOYOTE ULIYEMSAIDIA AKIWA KWENYE MATATIZO MAKUBWA AKAKUGEUKA AKIWA HANA SHIDA TENA SIO MTU WACHANA NAYE NI MSHENZI NA NI MNYAMA, NINASEMA HIVI REGARDLESS YA CHANZO CHA BIFU LAO, I HOLD KAJALA RESPONSIBLE KWA KUENDELEA KWA THIS CHILDISH BIFU DUNIA NZIMA INAJUA KUWA KAMA WEMA SEPETU HAKUMTOLEA ZILE MILLIONI 13 ANGEOZA JELA MPAKA LEO, MIMI NILIFIKIRI KILA KAJALA AKIKUMBUKA THAT ATAMUHESHIMU WEMA NA MAPUNGUFU YAKE HATA YAWE VIPI NA KAMA YAMEZIDI KIPIMO SI UNAMKWEPA TU LAKINI YOU REMAIN FRIENDS!!

- I MEAN THIS ONGOING FEUD INANISIKITISHA SANA KWA SABABU INAKUTOA UTU KAJALA NA KWA SABABU MBILI MUHIMU KWANZA WEWE NI MKUWBA KIUMRI KULIKO WEMA NA PILI AMEKUSAIDIA MAHALI AMBAPO HAKUNA MTU MWINGINE ANGEWEZA KUKUSAIDIA HAO UNAOWARINGIA SASA WALIKUWA WAPI SIKU ILE PALE MAHAKAMANI? I WAS THERE MACHO YALIKUWA YAMEKUTOKA MEKUNDU MACHOZI YANAKUMWAGIKA KAMA MVUA, AKAJA WEMA KUKUOKOA NA SASA NI YALE YALE SHUKRANI YAKO YA PUNDA!! JIRUDI MY SISTER MUOMBE MUNGU WAKO AKUSAIDIE UELEWANE NA WEMA HATA KAMA HAMUWEZI KUWA MARAFIKI LAKINI KUWEPO NA AMANI KATI YENU, MIMI SIMZIMIKII MTU YOYOTE ASIYE NA SHUKRANI NA KWENYE HILI NI WEWE HUNA SHUKRANI, SO BACK OFF!!,
JAMANI JIONI NJEMA!! -LE MUTUZ

Post a Comment

44 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. For sure .umenena le mutuz.come down girl yaishe

    ReplyDelete
  2. Well stated. Couldn't have been put in better words man - hizi bifu (unless ni gimmicks za kuuza) hazina maana, particularly hii ambayo sister Wema alimtoa Kajala pangoni. She should be grateful to say the least, not in any way disrespectful kama anavyosomeka kwenye media na forums.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hili ndilo tatizo la watoa hii inayoitwa misaada. I have been in the same situation like hii ya Kajala. Hawa watu baada ya kuona wananisaidia sasa ikawa intimidation na kuwa controlled in each and every aspect of my life. I felt so embarrassed, uncomfortable and humiliated. The time I say I had enough and I have to go regardless ya hiyo misaada. Hawa majamaa wakaanza kuja na maneno at the shame fashion kama huyo Kicheche anavyomfanyia huyo Kajala. I have been there, so I know these kind of creatures ambao wao kwao kutoa msaada is like ndio mwisho wa Dunia......na ni lazima you have to Kiss their ass otherwise you are finished case.....sasa hii exactly ndio issue inayo m-face Kajala kwa saa hii. Kwamba she has to Kiss somebody's Ass....what a shame. Smh!

      Delete
    2. As a matter of fact, when I say that I was intimidated and humiliated, I don't mean that it physical hostile, but it emotional, spiritual and verbally hostile. I was so emotional disgusted by the acts of the said creatures. So what I suggest to Kajala, just chill and relax. Don't allow nobody to suppress or intimidate you. We got your Back. Na huyo Kicheche aendelee kuwa Kicheche na mamburulaz wenzake Hallooooooooooo.....

      Delete
    3. Shame on u little cockroach

      Delete
  3. kweli umenena kaka kajara kubali yaishe wema ana mapungufu yke lakin aliyo tenda kwako kwa ulimwenguu uhu utampata nani jirud mm kamuombe msamahaa wew ndo unaonekana mbaya ata kma wema ana makosa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Don't be inferior you Sucker.

      Delete
  4. Yaani kwa sababu tu amemsaidia kwa hiyo aendeleee kumlamba matako yake huyo Kicheche. Mimi siwezi kuamini kama ni kweli Kajala hakumshukuru kwa msaada wake. Ila swali mnataka Kajala aendelee kumshukuru mara ngapi???....yaani nyie kimsingi mnataka kila siku Kajala awe ana kula, kupumua na kuishi kwa huo msaada. Na asifanye vitu vingine. Acheni hizo.....hizo ni zile kasumba za kumsujudia binadamu mwenzako kama vile amekuwa Mungu na nia yenu ni kutaka Kajala auuze Utu wake kwa kuendelea kumlamba matako huyo Kicheche. Acheni uzandiki wenu........huyo aneyejiita le mutuz ni mtu mwenye tabia kama za huyo Kicheche.......ni wale watu ViMungu mtu wanaopenda kuabudia na kulambwa matako yao......lools....hata aibu hawaoni

    ReplyDelete
  5. Ni kweli, kajala tumia busara zaidi, hakuna mkamilifu kwa binadamu tunapaswa kuvumiliana!

    ReplyDelete
  6. Hivi wewe Admin una post vipi habari za huyo anayejiita le mutuz katika Blog hii??????......si anayo Blog yake Msenge huyo.....ni wale wale Miungu watu wanaopenda kusujudiwa na kulambwa matako......pambafu zake....hovyooooooo...

    ReplyDelete
  7. unajua watu wakiwa juu kila mmoja mjuaji hakuna jambo litaweza kusawazika hapoooo.....lemutuz umenena vyema...kajala najua saivi unagopa hata kuingia kwenye hii mitandao maana unavyo chambwa na kutukana hadi huruma bishosti....nenda mainstagram huko ujioneee team kibao zinavyo kunonukaaa......jirudi mama...jirudiiiiii....weka urafiki sawa maliza wanafiki...then sio lazima ushinde nae masaa ishirin na nne ka umefungiwa jela ya wema...aaaa..ila fanya mambo yako then weka heshima.....kakutoa kimasomaso huyo la sivyo china ungeisikia jelaaaaa huko .....ushauri huooo suka nyoa utajijuuuu....ulimwengu utaujua mama wa rangi gan!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  8. huo ugomvi unakuzwa na wapambe kama ww, sio poa kuwa upande mmoja, " eti angeozea jela" una uhakika ? Sio poa huo ni unafiki, mtafute kajala pembeni umwambie kama kweli una nia nzuri, acheni mambo yasiyompendeza Mola wetu@

    ReplyDelete
    Replies
    1. negro peligro4 May 2014 at 10:00

      Stupid slut.... sasa kibongobongo nani angeweza kutoa milioni 13? Au wewe ungeweza kutoa? If u don't have anything to comment, go suck your dady's cock... BITCH!

      Delete
  9. huo ugomvi unakuzwa na wapambe kama ww, sio poa kuwa upande mmoja, " eti angeozea jela" una uhakika ? Sio poa huo ni unafiki, mtafute kajala pembeni umwambie kama kweli una nia nzuri, acheni mambo yasiyompendeza Mola wetu@

    ReplyDelete
  10. Hili jamaa jinga sana wewe watu wangapi wikusaidia hapa New york na bado uliwatukana na kujifanya eti ubembelezagi mtu je?unajuaje labda lkosa ni la wema shoga yako manake unapendaga sana kujipendekeza kwa watu wenye majina mkumbuke mama alie kutunza hapa New york wakati Dingi yako alipokua anakuana ka toto la uani

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yaani huyu jinamizi anayejiita le mutuz ni so stupid, very narrow minded person na kwa kweli anaudhi. Ile thinking capacity yake imegota hapo. Yaani he can't go nowhere zaidi ya hapo mpaka anatia na huruma. This hopeless guy anayo the same mentality kama huyo Kicheche. Yaani ni full Mijisifa isiyokuwa na maana, Kujipendekeza na Kutaka Kusujudiwa. Huyu mjamaa ni full stupid.

      Delete
    2. I agree 100%

      Delete
  11. Umeongea ukwel ila cyo lzm' hata kama asingekuwepo wema kuna ambae angetokea na kumuokoa'hata kwa kuchangishana'wema pia anahitaji kujishusha na kumuuliza mwenzie live,(cyo kwny mitandao) kuwa HIVI KAJALA NIMEKUKOSEA NINI KAJALA?

    ReplyDelete
  12. baharia mwenye ubaharia uwe wewe mali ikizama unashangaa unatapatapa kwenye maji tu huna lolote wewe lemutuz...na jitambia lako lililofurika minyooo kazi umbea tu jimwanaume zima ovyoooo......wewe kama hao ni marafiki zako kwann usinge kaa nao na kuwauliza shida nn na kusuluhisha kiutu uzima kuliko kuandika majungu ka mwanake...inaoneka upo upande mmoja wa wema....hukusikiliza interview ya kajala unafikiri haumii na mbo hayo.....embu fanya kitu cha maana we lemutuz kabla hatuja kupaka lipstic na uwanja wewe...jitu zima ovyooo...ndo maana ulituchangisha michango ya harusi ambayo haipo mpaka leo wee tapeli......tutolee jasho la kichina humu......pyeeeeee

    ReplyDelete
    Replies
    1. kunywa fursana nije nilipe. angekua mkweli si angewapatanisha yeye. hv ukipewa msaada ndo uwe mtumwa aisee kibongobongo tabu sana. nothing goes for nothing aisee.

      Delete
    2. Pamoja sana mdau hapo juu. Hili jamaa ni li she male

      Delete
  13. Na huyu nae kakosa la kuongea eti dunia nzima unafahamu kuhusu Wema kutoa million 13 kwa ustar gani alionao hasa? Kafanye mazowezi upunguze Cholesterol mwilini , mwili mkubwa small brain. Eti baharia

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huyu mjamaa anayejiita le mutuz, ukiliangalia umbo la kama Kifaru na ile inferiority complex aliyokuwa nayo hata havifanani, mpaka mtu unabakia kumshangaa. Basically huyo mjamaa ni so arrogant and irritable. .....Halafu pia si anacho hicho kiBlog chake uchwara, sasa huku anafuata nini??????????

      Delete
  14. Heri mpatanish maana!!.................

    ReplyDelete
  15. Kama mtu kakusaidia haimaanishi kwamba,,haimanishi kwamba kakusaidia kwa sababu ana pesa nyingi, bali kwa sababu ya huruma yake,. Lakini pia huhitaji kusubili fadhira na wala huhitaji kusubili kusujudiwa,kwa lolote.sasa huyo wema bado hajautambua ule usemi unao sema. No one is perfect, na ule mwingine unao sema am your friend so when I made a mistake it does not mean I dont love.

    ReplyDelete
  16. tumewachoka na hizi stor za wema na kajala wenyewe wahusika wako kimya wanafanya yao nyie viherehere ndio hamuishiwi ya kuongea ww le mutuz km mwanaume kwa nini usiwaite ukawakanya km kaka yao wangekataa ndiyo ungeandika tulien ss mtafute hela siyo kutaka umaarufu kupitia kwa kajala na wema.

    ReplyDelete
  17. Unapotoa toa kw moyo kama unamsaidia m2 na uciitaj malipo et yakunyenyekew au kuabudiw hiyo haifai ukifany hivyo unakuw hujatoa msaada bal ulitaka umaarufu ili wa2 wakufahamu unazo

    ReplyDelete
  18. huyo kitambi mavi sijui lemutuz mavi...angekuwa ndio babangu afu kajiingiza kwenye umbeaaa....uwiii mi cjui ningefanyaje....jamaa anataman kuwa supastar kwa lazima kila picha kajiweka eti na msanii hana lolote huyo wadauuu.....nende instagram mkamuone mcheke muongeze japo hata mwaka wa kuishi.....haloooooo ovyo jitu zima hiloo

    ReplyDelete
  19. huyo kitambi mavi sijui lemutuz mavi...angekuwa ndio babangu afu kajiingiza kwenye umbeaaa....uwiii mi cjui ningefanyaje....jamaa anataman kuwa supastar kwa lazima kila picha kajiweka eti na msanii hana lolote huyo wadauuu.....nende instagram mkamuone mcheke muongeze japo hata mwaka wa kuishi.....haloooooo ovyo jitu zima hiloo

    ReplyDelete
  20. huyo kitambi mavi sijui lemutuz mavi...angekuwa ndio babangu afu kajiingiza kwenye umbeaaa....uwiii mi cjui ningefanyaje....jamaa anataman kuwa supastar kwa lazima kila picha kajiweka eti na msanii hana lolote huyo wadauuu.....nende instagram mkamuone mcheke muongeze japo hata mwaka wa kuishi.....haloooooo ovyo jitu zima hiloo

    ReplyDelete
  21. huyo kitambi mavi sijui lemutuz mavi...angekuwa ndio babangu afu kajiingiza kwenye umbeaaa....uwiii mi cjui ningefanyaje....jamaa anataman kuwa supastar kwa lazima kila picha kajiweka eti na msanii hana lolote huyo wadauuu.....nende instagram mkamuone mcheke muongeze japo hata mwaka wa kuishi.....haloooooo ovyo jitu zima hiloo

    ReplyDelete
  22. huyo kitambi mavi sijui lemutuz mavi...angekuwa ndio babangu afu kajiingiza kwenye umbeaaa....uwiii mi cjui ningefanyaje....jamaa anataman kuwa supastar kwa lazima kila picha kajiweka eti na msanii hana lolote huyo wadauuu.....nendeni instagram mkamuone mcheke muongeze japo hata mwaka wa kuishi.....haloooooo ovyo jitu zima hiloo

    ReplyDelete
  23. huyo kitambi mavi sijui lemutuz mavi...angekuwa ndio babangu afu kajiingiza kwenye umbeaaa....uwiii mi cjui ningefanyaje....jamaa anataman kuwa supastar kwa lazima kila picha kajiweka eti na msanii hana lolote huyo wadauuu.....nendeni instagram mkamuone mcheke muongeze japo hata mwaka wa kuishi.....haloooooo ovyo jitu zima hiloo

    ReplyDelete
  24. huyo kitambi mavi sijui lemutuz mavi...angekuwa ndio babangu afu kajiingiza kwenye umbeaaa....uwiii mi cjui ningefanyaje....jamaa anataman kuwa supastar kwa lazima kila picha kajiweka eti na msanii hana lolote huyo wadauuu.....nende instagram mkamuone mcheke muongeze japo hata mwaka wa kuishi.....haloooooo ovyo jitu zima hiloo

    ReplyDelete
  25. Yaani Watanzania wooote 50 million wanamuangalia huyo Kicheche anavyowakalia vichwani. Anavyomkalia kichwani huyo Domo basi anafikiria na uKicheche wake atawakalia watu woooote vichwani. Now look, the same Kicheche yeye na vicheche wenzake walienda kufanya fujo kwenye Club ya watu pale Kawe, the same Kicheche wakati hana hili wala lile akaenda kumvamia mtoto wa watu Penny, Kama vile haitoshi huyu huyu Kicheche akaenda kuzivamia ofisi za Global Publishers huku akiwa ameandamana na vicheche wenzake. Hata hivyo niliwashangaa sana hao Global Publishers na CEO wao kwenda na ku embrace huyo Kicheche badala ya ku open a law suit against Kicheche for invasion of personal property and detrimental of character. Huyo huyo Kicheche leo hii analazimisha kumkalia kichwani mtoto mstaarabu Kajala na thanks God Kajala amekataa na maneno yake. Huyo Kicheche ametoka kutetewa na jinamizi anayejiita le mutuz katika article ambayo hata ameshindwa ku comprehend vizuri na ikaleta umaana na uhalisia. Yaani huyu Kicheche ni hopeless na a piece of shit sijapata kuona katika maisha yangu......Huyo Kicheche hizo fujo zoote anazileta hapa Tanzania Bara halafu siku akifa ataenda kuzikwa kwao Zamzibar. Kwa nini asizipeleke hizo fujo huko kwao Zamzibar akamwagiane Acid na vicheche wenzake huko Zanzibar????????????

    ReplyDelete
  26. mdau mmoja hapo juu amesema well.Kwanini huyu le mutuz asiwakutanishe kajala na wema then wapatanishe kila mmoja atoe yake ya moyoni awapatanishe yeye kama mtu mzima? kwanini aje hapa kuandika kitu simple kama hii anashindwa nini kuwakutanisha? another thing huyu mchangiaji anaependa kumwita wema kicheche na kusema mbovu kwa wema aandike maumivu maana wema kama wema anadamu ya kupendwa pia nyota yake yangara sana yeye sio kitu hata kama anamchukia wema yeye ni kama sisimizi kama sisismizi tu ktk watu wanaomkubali wema ni wengi mno so anajipotezea tu mda kwani hata haeleweki kitu anachoandika wamwache wema na diamond miaka milioniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

    ReplyDelete
    Replies
    1. Anaposemwa Kicheche kinakuuuuumaaaa......loser mkubwa weeee....unajua maana ya kupendwa. Nenda kasonge ugali......paka shume weeeee...

      Delete
    2. Anapendwa na mamburulaz kama wewe.....hana hata mtu mmoja wa maana katika circles zake. Wooote ni vicheche ukiwamo na wewe.....

      Delete
  27. Huyu Lemutuz yeye marafiki zake wote wanawake yupo sawa au ndio km akina Bilal.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Bilal ananafuu kwa dada Le mutuz yee ni umbea tuu na kujipendekeza kwa watu that's all he knows. ... sanam la michelini

      Delete
  28. Huyu teddy bear Le mutuz ni msenge wa mwisho sijawahi kuona nwanaume mmbea duniani kama yeye? I hope yule mchumba kashaingia mitini maana ataolewa na mwanamke mwenzake.... umbo kumbwaaa akili zero dada Le mutuz wacha umbea..

    ReplyDelete
  29. Kwan le mutuz ni nani? Insta anajishow na picha kapiga na wasanii'wa kike' simjui ila ni mshamba sana'watu wameelimika hii siyo enzi ya nyerere' kwan wema hawez kukosea na akaomba msamaha? Amekuwa nani? Wewe le mutuz utakuwa baharia wa nch kavu 'jitambue'

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad