Leo ni Birthday ya Mwigizaji Vicenti Kigosi ray, Johari Ampa Salamu Tata, Isome Hapa

Leo mwigizaji maarufu nchini Vicent kigosi - Ray anasherehehea siku yake ya kuzaliwa huku akipata salamu mbalimbali za pongezi toka kwa mastaa mbalimbali nchini.

Moja ya watu wa kwanza kwanza kumpa salamu hiyo ni swahiba na rafiki yake mkubwa, JB akifuatiwa na mpenzi wake wa zamani Johari ambaye salamu yake inadaiwa na wachunguzi wa mambo kuwa ni kwa namna flani inamponda mpenzi wa sasa wa Ray , Chuchu hans, kutokana na maneno yaliyotumika ya salamu hiyo ambayo Johari anadaiwa kuwahi kuyatumia kumponda Chuchu siku za nyuma.

JB ameandika

''Happy birth day mdogo wangu ray.mungu akupe haja ya moyo wako.''



Na huku Johari akiandika 

''Happy birthday director wa rj na swaiba wangu mungu akuongoze akupe maisha marefu na akuepushe na ‘’mabarazuri’’

Hongera sana kaka kigosi. Mungu akupe maisha marefu

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. johari acha majungu na kilomo, kaa kimya kama penny uache movie liendelee....

    ReplyDelete
  2. mwanamke kujiamini kama hadija kopa, unavomfatilia ray ndo anazid kukuzarau...

    ReplyDelete
  3. Au bado anakumbuka penz" weka wz bby tuseti mambo kinyume na hapo kaa kimya tu w2 wale ujana ! Hngr ley kl k2 kiende sawa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad