Madereva Wagomea na Kukisusa Kituo Kipya cha Daladala Ubungo Mwenge

Wamiliki na madereva wanayofanya safari zake kati ya Ubungo na Mwenge jijini Dar leo wamegomea amri ya kutumia kituo kipya walichoamriwa na serikali kukitumia kilichopo nyuma ya jengo la Mawasiliano Tower, Ubungo jijini Dar. Mwanahabari wetu alitembelea kituo hicho na kukuta mafundi wakiendelea na ujenzi huku kukiwa na marundo ya vifusi.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad