Mama wa Kizungu Atoka Rwanda Kuja Bongo ili Diamond Amwimbie Happy Birthday (Video)


Kama Diamond Platnumz angekutana na Eiden usiku wa kuamkia Jumamosi ya leo, huenda angemfanya mwanamke huyo wa kizungu kuwa mwenye furaha kuliko watu wote duniani. Mwanamke huyo ambaye usiku huo alikuwa akisherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutimiza miaka 32, anadai alisafiri kutoka nchini Rwanda kuja jijini Dar es Salaam ili amtafute hitmaker huyo wa ‘Number One’ amuimbie wimbo maalum wa siku ya kuzaliwa.
Bahati mbaya, mara tu baada ya kutumbuiza kwenye show ya Road to MAMA, aliwahi ndege ya kwenda jijini London, Uingereza kuwahi show yake na Ommy Dimpoz na kuizima ndoto ya Eiden.

“Mimi ni shabiki mkubwa zaidi wa Diamond duniani,” Eiden aliiambia Bongo5. “I want him to sing me happy birthday cause I am his number one fan and I’m not married I have no kids and I am not ashamed. I just love him and I think I feel like he needs to meet me, If he doesn’t meet me his life is not gonna be the same. I am incredible, if he doesn’t know me he is just gonna be a poor person in the world.”
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hahaha huyo mzungu tapeli tu ataka ukaribu na diamond ale hela zake labda kaanza kufulia huyo lakini kwa kuwa waafrika wanaabudu ngozi nyeupe huenda diamond asilitambue hilo na kunasa kwa mtego wake.Mbona wapo tu waimbaji kibao bongo underground,star na waliofulia si amfate yeyote amuimbie?eti atakuwa maskini sasa awe maskini mara ngapi?aende huko.

    ReplyDelete
  2. chezea sukari ya warembo wewe

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad