Marekani Kuhamishia Shughuli Zake Tanzania Kutoka Kenya!


Serikali ya Marekani imesema itapunguza wafanyakazi katika ubalozi wake nchini Kenya kutokana na kitisho cha ugaidi.


Marekani imechukua hatua hiyo baada ya vitisho na mashambulizi ya kigaidi kuzidi kupamba moto nchini Kenya, ambapo jana watu 10 walikufa na wengine wengi kujeruhiwa kutoana na bomu lililolipuka jijini Nairobi.

Marekani imesema itahamishia baadhi y shughuli zake nchini Tanzania au Ethiaopia.

Source: DW Habari.

Ugaidi ni hatari sana. Haya makundi yanayozidi kuchanua kila siku sijui Dunia inaelekea wapi?

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mnadhoofisha maendeleo ya africa kwa kufanya divide and rule mpate kuchukua rsilimal8 na kuwekeza kwa urahisi sisi huku tukigombanishwa mnaendelea mkileta mali zetu mnasema msaada vibaraka wakiwatumikia.
    hasa wasikuwa na akili za kufikiri wakishabikia na kuchukia wengine kwa chuki zilizipandikizwa na propaganda zinlienea.
    anya way kila nafsi italamba mchanga hata ifie majini au tumbo la simba na hata ikiwa majivu yatapepelukia tu ardhini na hukumu ni.sheria ya Mungu.

    ReplyDelete
  2. Haya makundi unadhani yanapata wapi silaha?
    haya makundi mbona viongozi wake wanakuwa na uhuru kupanda ndege kwenda sehemu mbali mbali wanalindwa na nani?
    haya makundi wananguvu gani dunia isiweze kupambana nao?
    wana watu wangapi mpaka serikali ishindwe?
    wana ulinzi kisi gani mpaka taarifa zao zilipatikane vema?
    Hapo changa la macho mwenye macho aambiwi...........
    kubwa waathirika wakubwa watu wenye.ubongo wa kuku na waanga ambao wanajiunga kufuata mkumbo wanaodhaniwa ili kudhoofisha imani katika nyumba za ibada na wanaotolewa sadaka wakufunika kombe ili ............ Apite sasa hawa yaweza kuwa kanisani msikitini au sehemu ya mkusanyika.

    ReplyDelete
  3. Wamarekani makuma siwapendiiiiiiii mamae

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad