Nay wa Mitego anaamini kuwa ukimtoa Profesa Jay wa zamani (anadai huyu wa sasa kachoka) yeye ndiye rapper bora zaidi kuliko mwingine Tanzania. Lakini mashabiki wanaikubali kauli hiyo? Hell NO!!
Octavian Kiwale
Unatafuta kick tu wewe, nadhubutu kukuambia ukizungumzia HIP HOP hata killer tu hujamfikia ndo ujiringanishe na Prof?//////// FID Q ndo usimwongelee kabisa
Winnie Glory
We ney fid Q na joe makin huwafiki hat robo, mbuz tu wew ndo man unalelewa na siwema
TheBoy Junior
Na je nakula ujana ipo wapi hip hop au bongo fleva na akisema ye ndo anaongea ukweli nash mc tumuweke wapi sasa? Asitafte kiki wasanii wa hip hop wengi na wanafanya vile hip hop inapaswa kuwa. Huyu hana jipya tena tafta Scandal utoke kama diamond na si kwakusema we ndo hip hop hata hip hop yenyewe huijui….
Agapito Petro
Mwana fa,ngwair(r.i.p.),kala jere100, ay n.k. Huwafikii hata kiduchu
Laurent Mwamlima
Ney umeishaaaa… kajititie tu Hata MPOKI MJUNI hata mzee MGARI humfikii kwa hip hop
Vitalis Kaizer
Hata 50 bora ya hip hop sidhani kama umo bado sanaaaaaaa kuropoka sio hip hop jipangee!!
Dotto Kondo
Huyu jamaa bhana,sometimes nahc huwa akili zinamruka
Ze Jap Suprah
Chiz wewe mwambie aandike kip sijasikia hafu tuone
Rashid Mtoi
Dogo janja mwenyewe humfikii hata robo
Mashabiki ‘Wamsulubu’ Nay wa Mitego Baada ya Kudai Kuwa ndiye Rapper Bora Zaidi Tanzania
8
May 14, 2014
Tags
ni kweli anajua..lakini mr blue zaidi.
ReplyDeleteHivi nay umekaa nanani akakudanganya,kunavijana wadogo tu huwezi kuwafikia hata huyu profesa j'wa sasa kama wewe unavyo mwita basi hutakaa umfikie kwa jinsi ulivyo mpumbavu wa fikra....bich#*niggar!
ReplyDeletenay mi nakukubali sana ila unavyokandia wenzio na kujiita true boy unaboa sana sasa tunasubiri sana ufike waliko akina inpekta haroun!!!
ReplyDeleteNay mzima sana unakubalika sana.usiwasikie ao wabaya wanao kuchafuwa tu.ila hip hop yako ni kali sana.kwa sasa wewe ndio unaongoza.profesa jy k8sha siku nyiingi nakila mtu anajuwa hivyo.
DeleteMimi nawakubali nyie wote mnajuwa sana hip hop mnachana kama kawaida hakuna mzee
ReplyDeleteHuyu Ney hana jipya domo zito
ReplyDeletehiv mtu kama ney eti wamitego ya chawa hivi huyu uwa anaimba au anaongea tu?
ReplyDeleteHahaha eti ney nae ni msanii kisa anaweza kuonesha boxer stejini,,bora hata mrisho mpoto anaetembea peku lakini amevaa heshima,,Hip hOp sio boxer man,,
ReplyDelete