Maskini:Mwanamke Achomwa Moto na Wananchi Hadi Kufa

Hivi karibuni mwanamke mmoja huko Nchini Nigeria aliuawa na wananchi walioamua kujichukulia sheria mkononi baada ya kumtuhumu kuwa anaiba watoto wa shule na kuwapeleka kusikojulikana.
Mwanamke huyu ambaye jina lake halikupatikana mara moja, alianza kupigwa na baadaye wananchi hao wakamuua kwa kumchoma moto.
Inadaiwa kuwa mwanamke huyu alikutwa na watoto wawili wa kike ambao ni wanafunzi, akiongozana nao na ndipo wananchi walipompiga  na hatimaye kumchoma moto hadi akafa

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Maskini ya nini sasa??unafirwa nini?

    ReplyDelete
  2. hawa makahaba hii ndo dawa

    ReplyDelete
  3. Angekuwa men ucnge sema "masikin" acha ungese kala taili kala 2 . moto tu mamaeee njoon na hawa huku wengne

    ReplyDelete
  4. Mtuletee wengine huku jamani.hao ndo wachawi.

    ReplyDelete
  5. Makumada kama hao tunawataka sana.

    ReplyDelete
  6. sema hyo haisomek uwenda ni mwiz kweli au alikua anawavusha watoto road au watoto walimuomba awaescot walikua wanogopa

    ReplyDelete
  7. mi wangeniachia hilo PAJA tuu basii!!

    ReplyDelete
  8. http://cashnjob.com/index.php?refer=109808

    ReplyDelete
  9. AMEKOSA ADABU KUMAMAKE HUYO

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad