Mbunge wa Nkasi mh. Ally Kessy asema Wazanzibar Wanachosha, ni Mzigo

Kutokana na mjadala wa bajeti ya wizara ya mambo ya nje uliokuwa unaendelea , Mbunge wa Nkasi Ndugu Ali Kessy ameporomosha matusi mazito kwa wazanzibar kuwa ni watu wa hovyo na ambao kila mara wanalialia tu kuwa wanabaguliwa , wanadai mambo mengi kuliko uwezo wao na wakati hawachangii hata senti kwenye Muungano na hivyo kama wanaona wanaonewa waende kwenye nchi yao sio kukaa kwetu.......

Alienda mbali zaidi kusema kuwa Zanzibar Majimbo ya uchaguzi ni madogo kiasi kwamba ukipigania filimbi wananchi wote wanakusanyika ila bado wanapewa fedha za mfuko wa Jimbo jambo ambalo sio haki , na pia hata umeme hawalipi na maji pia .

jambo hili lilimfanya mbunge wa CCM ndugu Chombo , kuomba muongozo na Kumtaka naibu Spika a mwambie Kessy kamwe asikanyage Zanzibar , hii ilikuwa baada ya kumuita mwendawazimu , na alisema ni bahati mbaya kwa CCM kuwa na mbunge mwendawazimu kama huyu ......

Ndugai muda muda wote alikuwa akicheka , sijui nini maana yake .."...
Tags

Post a Comment

23 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ni kweli alichosema,ukweli unauma.wamelegea mno.wanependa bure bure saana wakati hawazalishishi chochote.

    ReplyDelete
  2. Bora wakwende! Kwanza wabaguzi nashangaa kwann tunawapakata hadi wanajisahau! Kumbafu zao!

    ReplyDelete
  3. Hahahahaha mie napita yakheeeeeeee

    ReplyDelete
  4. sasa kwa nini hatutaki kuwaachia kama wakakaa na visiwa vyao tumewashika nawakati wanatutia hasara ccm juu juu juuu zaidi

    ReplyDelete
  5. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  6. Hakuna faida ya muungano,wanatakiwa nao kuja bara na passport,hahaaaa!!!

    ReplyDelete
  7. Mkiwa zenj mnatetea zanzbar huru,mkifika dodoma mnaufyata na kulegea kama mboga ya viazi.

    ReplyDelete
  8. sorry nje ya mada naombeni mnielekeze jinsi ya kuingiza jf i mean jamiiforum.

    ReplyDelete
  9. Google jamii Forum mzigo unakuja

    ReplyDelete
  10. sasa nashangaa sana kama kweli znz ni mzigo mbona hamuutui cc wazanzibar hatuutak hata kuuona huo muungango....mplz naomba mutuachie znz yetu tumechoka kutawaliwa tukiaanza kudai kivyengine tusilaumiane

    ReplyDelete
  11. Mbunge huyu kessy kaonesha udhaifu wa siasa,na ni mawazo yake binafsi kabwabwaja...binafsi ni ccm...siwezi kusema hatufai....ila hafai kuaminiwa hata kupewa usukani aendeshe safari itakua ya hofu saana....kwa kauli alizotoa leo...ni bora akasimamishwa siasa kwa hata miaka 10....muungano tunaupenda usumbufu uliopo ni mdogo tuu ambao utaisha tuu....0717337536

    ReplyDelete
  12. Km ni mzigo si utuweniii...sisi hatutaki MUUNGANO maana unatubana na hatufaidiki nao hasaa kimataifa,TUNATAKA NCHI yetu, haijalishi km tupo kidogo ama tupo wengi....

    ReplyDelete
  13. Watu wa Tanganyika wanajifanya kama majuha wakati wao ndio wanao faidika na huyo muungano na huku wanatuziba macho. Sisi watu wa visiwa tunatoa pesa za map to yote na kupelekwa bara. Halafu tunakisiwa hizi za mwezi. Watu wa serikalini wanakaa miezi bila ya kulitwa kwa sababu pesa hazijafika kutoka bara. Leo eti hatuchangii katika muungano sasa kwanini hamuuvunji huo muungano nyinyi ndio mnaotutukana tunapakatwa. Sisi mmeshukua kilakitu cha Zanzibar vifaa vya ulinzi na boti za kulindia bahari yetu. Kwa Niki hamtufukuzi sasa kwenye huo muungano. Mnazua uwongo Tu wengine wamesema eti kwa sababu tuna bahari kubwa wanatulinda. Tanganyika inaweza kutekwa nyara kutokea Zanzibar. Wacheni unafiki sisi tushaka na nyinyi mushasho na sie people of the both sides need to sit down by the table and talk about this shit we both fade up with whole union situation.

    ReplyDelete
  14. Baelesee baelewe.

    ReplyDelete
  15. Ally Kessy umekuwa kibonzo! Wacha pururu izoo fedheha tupu mtu mzima ovyo kabisa. Ndio uharo gani huu unaomunesha mTanzanzia. .....si muvunje muungano kama unaona hatuna faida. CCM oyeee

    ReplyDelete
  16. Wacha Muvi iendelee..

    ReplyDelete
  17. Mdogomdogo tanganyika hiyoooooooo

    ReplyDelete
  18. asante mdau apo juu nimefanikiwa.

    ReplyDelete
  19. Nyie wazanzibar ndio mnafaidika na muungano kuliko wabara tena mfungw midomo yenu, kwanza mmejaa bara mmejenga kila sehemu wakati wabara zanzibar ardhi awapewi, mmekaa kulalamika masaa 24 kama ma hanithi nani anayewataka me sijawai kufika huko zanzibar wala sitafika maisha yangu yote mijitu imekaaa na roho mbaya kama michawi.kutwa kucha kuwasema watanganyikawatanganyika na blog zao za kutukana viongoz kama mnataka nchi yenu ipindueni nchi mjitenge ingekuwa uwezo wangu hata kesho tungejitenga, mmekaa kama wanawake shule amtaki kusoma kazi amfanyi mmekaaa tu vibarazani na misuli yenu, kutwa kucha kuwasema wazungu makafiri wakati mnaenda kujilipua nchini kwao mbona amuendi kwa waarabu mnawaabudu muombe ukimbizi, mnaishia kuwa watumwa tu arabuni alafu mnategemea waarabu waje kuwasaidia mkijititenga eti wataifanya znz kama dubai mbona comoro mpaka leo wanazidi kuporomoka baada ya kujitengea...KWENDENI ZENU NA KULALAMIKA KWENU MASAA YOTE ATAFANYIWE NN AMRIDHIKI NA ROHO ZENU MBAYA JITENGENI HATA LEO PUMBAVU NYIE

    ReplyDelete
  20. Namuona Kapuya kwenye picha kwa mbaaali!!! Ha ha ha haa Tanzania, My Tanzania!!! Huyu jamaa ile issue yake imeishaje? Not related but worth mentioning!

    ReplyDelete
  21. kubabako na anaefaidika na muungano znz kuma kibuyu wew

    ReplyDelete
  22. fuck zanzibar..kuma mae amji kuoga!!!!!!!!!!mmejazana huyo mbunge alivyosema ni kweli kabisa.pumbavu

    ReplyDelete
  23. MBUNGE TUNAYEMTAKA NI AINA YA ALLY KEISSY ANAYEZUNGUMUZA UKWELI BUNGENI; WAZANZIBAR KAMA HAWATAKI FADHIRA ZA MUUNGANO NA WANAONA WABARA WANAWATAWARA; KUTHIBITSHA UKWELI WA MALALAMIKO HAYA KUWA SIO MAONI YA WALEVI WA MADARAKA, WAZANZIBAR WENYEWE WAAMUE KUPITIA KULA YA MAONI. KUWANG'ANGA'NIZA AMANI WAKATI HAWAITAKI WABARA HATUWATENDEI HAKI. BILA TAMUKO LA WAZANZIBAR WENYEWE TUNAZIDISHA LAWAMA ZILIZOMKELA MBUNGE KEISSY MPAKA AKAELEZA UKWELI BUNGENI NAMPONGEZA.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad