Mchungaji Rwakatare acharuka Bungeni! Ngoma za Vigodoro Chanzo


Akichangia hoja ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, wanawake na Watoto Bungeni leo; ameomba kwa uchungu, Watanzania kukemea ukeketaji, ngoma za kudhalilisha kama vile kangamoko na Vigodoro na nyinginezo na upigaji wa wanawake!

In fact, inashangaza jinsi ngoma hizi za ovyo zinavyoshamiri Dar, inashangaza ni kwanini serikali kupitia wizara hii hawakomeshi ngoma za ovyo kama hizi! Kule Boko Beach kuna ngoma ya ovyo (Kigodoro) kabisa huchezwa kila wikiendi, viongozi wa serikali ya mtaa hawaoni?
Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hayakuhusu au umekosa la kuongea.

    ReplyDelete
  2. Wewe mbona nyumba yako umejenga kwenye mikoko wenzio mlio jenga nao kwenye mikoko nyumba zao zimebomolewa wewe yako mbona imeachwa?na wewe tukuulize hivi serikali iko wapi?

    ReplyDelete
  3. YA NGOSWE MWACHIE NGOSWE PILI PILI USIYOILA YAKUWASHIA NN

    ReplyDelete
  4. wee jimama, una nenepeana ovyo ovyo, unatembea kwa shida, unahemea juujuu, fanya kwanza kazi ya kupunguza kula.... utakufa na BP bure

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad