Meneja wa Muigizaji maarufu wa Bongo Movie Wema sepetu amewaacha midomo wazi watu waliokuwa wamehudhuria Tuzo ya Muziki ya Kilimanjaro katika ukumbi wa mlimani City jana baada ya kupaniki na kujikuta anajibu mapigo kwa Mc wa sherehe hiyo Silvery Mjuni anayefahamika zaidi kwa jina la Mpoki.
Meneja wa Wema aitwae Martin Kadinda amejikuta ameshindwa kuzuia hisia zake kutokana na masihara ya mpoki pale alipowaambia kuwa timu Diamond ni kikundi kinachoongoza kupost picha hata zisizo na msingi kwenye mitandao ya kijamii hususani Instagram,
Mpoki aliwaambia Diamond na wafuasi wake akiwemo wema,martin kadinda,Rommy Johnson kuwa wanapost kila wakati kwa mfano wakiwawanakula,wamelala ndipo Martin kadinda alipomwambia mpoki kuwa atafute namna nyingine ya kutafutia pesa.
Kauli ya Kadinda iliwashangaza wengi kwani licha ya kuwa mpoki alikuwa anazungumza kimasihara lakini jambo lake linaukweli kwa kiasi kikubwa japo Kadinda alikuwa mwepesi kupanik na kushindwa kukubaliana na ukweli huo.
MENEJA WA WEMA SEPETU WATUPIANA VIJEMBE NA MPOKI JANA KWENYE TUZO KILI
33
May 04, 2014
Tags
Mpok nae anaboa bwana maneno mengi utafikir kameza sd card
ReplyDeleteAlinishangaza pale aliposema eti wasiopiga makofi wana "HIV", kwa maana yoyote ile mtu educated hawezi kutamka maneno kama yale katika mazingira kama yale. hata hivyo wakulaumiwa ni watu wa TBL/Kilimanjaro wenyewe kwa kuwapa kazi sensitive kama ile watu wasio na mitazamo mipana, hii yaweza kuathiri brand yao ya KILI baada ya kuijenga
Deletempoki nae jana alizidi ule haukuwa utani kama pale aliposema mzee yusuph haachi muziki kazi kuoa tu yani akibore mengi
ReplyDeleteMpok noma mliona alvyo mwambia aman wa kenya
ReplyDeleteDah alipitilizaaa
ReplyDeletebt si issue sana next tym kila kitu kitakuwa Poa
Mpok alizidisha had anakera
ReplyDeleteAnamisifa sana,hafai kua mc kwnye ma2kio kama yale anawafanya baadhi ya washiriki wajione wamedharirishwa,co kbsa yani hata ckumpenda.
ReplyDeletedaaaaaah mimi penda sana mpoki, chana wote
ReplyDeleteRay C alivyokabidhi tuzo alitoka nduki kwa kumuhofia Limpoki kwa kweli jana liliboa lilijisahau likajuo liko kwenye comedy manina zake.
ReplyDeleteUkweli cku zote unauma Martin ilimtouch amezid kama mtoto wa kike.Mpoki alikuwa sawa ndo mkome na cku nyingine
ReplyDeleteHata mie ckupenda dada wa wat kateleza na viatu akamuanzia cyo poa na mungu alijua angemuumba vizur kidog angesumbua ndoo mana kammwagia pipa la rami liliboaaaa
ReplyDeleteDuuu !
Deletempoki alichangamsha ukumbila akizidi na yeye yani nikajikuta nasikia aibu badala ya wahusika . ujirekebishe mpoki ulitutia aibu fans wako.
ReplyDeleteHuyo Martin naye ni meneja au takataka punguani????? Mpoki alichokifanya jana ni sawa kabisaaaaaa ndio wakome na ubishololo wao fake......
ReplyDeleteSawa 2 kawapa makavu
ReplyDeletebila kukopesha
me nilipenda sana
Jana kwa upande wa Mc ilikuwa poa sana mwarabu wa dubai katisha sana
ReplyDeleteMartin afute kauli ya kujiita yeye ni manager anatudhalilisha managers yeye kummanage mtu alisomea wap? Au kumanage biashara alisomea wap? Yeye ni kama mdau mkubwa kwa wema na si manager
ReplyDeleteMpoki alichefua sana jana yani anaropoka tu hajui chochote mara asifie wake za watu mara aponde watu sio kadinda peke yake yani kwa kifupi kili mlichemsha upande wa mc btw startv nanyie mjirekebishe kilasiku picha mbaya tu
ReplyDeleteNdomaana taifa hili aliend mbele mkiambiwa ukweli mnakula kobisi thanks brother Mpoki wamezid kuuza sura ktk mitandao ya kijamii. Km wanapenda kuuza sura waende vijijin walikotoka wakawasaidie jamaa zao huko. Upo juu ya mstari bro jana wakizid wachane live ktk Ze comedy.

ReplyDeleteIle inaitwa makavu live
ReplyDeletemeneja gani huyo jamaniii............
ReplyDelete
ReplyDeleteTatzo hampendi kuambiwa ukweli ila mpoki alipatia haswaaaa, big up kwake
hamn lolot mnaompnda mpok coz na nyie vlwagusa!
ReplyDeletego martiiiiin., alijua atatunzwaa hela kwa kuropoka tyuu.. mpoki xo typ yako ni mxhamba tyuu

ReplyDeletesafi sana mpoki
ReplyDeleteukweli uliwauma wamezidi ujinga.
ReplyDeleteUkwel unauma!
ReplyDeletempoki akufanya fair kabisa amejitengenezea mazingira mabaya na watu ule ulikuwa si utani ilikuwa kama amewapania kuwazalilisha alimtia aibu boss wa kili alimwambia asimame apunge mkono aibu hivi angekuwa amesoma tusingekunywa maji.kabaki kupiga taralila mwenzake masanja yupo juu na gorofa na magari ya kifahari manyonyo ya mai yalihusu nn hapo kwenye tuzo kamwambie mkeo nae abusti mjinga ww huna hata chembe ya aibu kweli nimeamini ule usemi wahaya hawana haya na kil mkome kumchukua mc ambaye ajaenda darasa
ReplyDelete