Meninah-Mwanamke Mrembo Katika Tasnia ya Bongo Flava


Hakika ni Mrembo wa Haja Anayewakilisha Vyema Wanawake katika Tasnia ya Music wa Bongo Flava....Nani mwingine anakutia uzuri wake kati ya waimbaji wa Kike wa Bongo Flava?
Tags

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Weeee........uctake ni mlete kwako RAh p wap unamwacha uyuu

    ReplyDelete
  2. wema peke yake

    ReplyDelete
  3. we nawe wamesema wanaoimba bongofleva sasa wema anaimba? ushabiki mavi huo kujibu vitu ambavyo ujaulizwa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahahaha...kwl asee,ushabik mavi yani kuna watu wanajifany wanaahaba na hawa watu kuliko wazaz wao

      Delete
  4. kweli mzuri, nisaidie hapo picha ya kwanza juu nyuma ya meninah ni nani uyo?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ni angel yule wa tusker project mwaka jana

      Delete
  5. ki ukwel ni mzuri

    ReplyDelete
  6. hayo makope yao ya kubandika siyapendi

    ReplyDelete
  7. Ivi ameimba nyimbo gani..

    ReplyDelete
  8. shagala bagala@kibela

    ReplyDelete
  9. mimision uzuri wake zaidi ya mguu na inyeeee

    ReplyDelete
  10. Kazuriii.ilakamechanganyika haka kakatoka shombe.hata huyo angel nimzurikweli

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad