Mganga wa Diamond Aibuka na Mapya Baada ya Tuzo Saba

Yule mganga maarufu wa mastaa nchini ambae
aliwahi kutangaza kuwa amekuwa na ukaribu na
mwanamuziki Diamond ameibuka na kusema
kuwa tuzo hizo saba alizozipata zinamaana
kubwa sana kwenye kazi zake anazozifanya.

alisema" Niliongea na Diamond wiki moja kabla
ya shoo nikamueleza kuwa atapokea tuzo nyingi
sana mwaka huu na hizo tuzo ni ishara tosha ya
kudumu kwenye game kwa miaka kama hiyo ya
tuzo zake kwa maana ya miaka saba mbele yote
nyota yake itaendelea kung'ara" Alisema Dokta
Kamdege
Aidha Mganga huyo aliendelea kusema" Unajuwa
haya mambo ya maagano yapo muziki na miti
shamba zinaendana kwani kwenye dunia hii ya
leo maadui ni wengi kuliko marafiki kwani wapo
watakaokuchukia bila sababu za msingi hivyo ni
vyema ukalijua mapema hilo na kujikinga kama
ilivyo kwa Diamond" Alisema mganga huyo
mwenyeji wHa Mkoa wa Tabora
Hata hivyo mganga huyo aliendelea kuto uwito
kwa watanzania popote walipo duniani
waendelee kupata huduma zake kwani hii ni
kama baraka kwa taifa la Tanzania.
Dokta Kamdege amekuwa akitumiwa sana na
vigogo wa Serikali, wasanii na watu mbalimbali
duniani kufanikisha mambo yao kwa kuwapatia
baraka kupitia miti shamba.

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wenye wivu wajinyonge

    ReplyDelete
  2. Peleka utapeli wako hukoo.

    ReplyDelete
  3. Muongo mkubwa wee!

    ReplyDelete
  4. Umepotea njia ww

    ReplyDelete
  5. huyu mganga au chizi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Inasemekana ni chizi

      Delete
    2. mwezi mchanga huwa anaokota makopo

      Delete
  6. hata aoni aibu alishasema diamond hata ng'aa tena sasa kaona kang'aa anajitokeza tena aende zake kule

    ReplyDelete
  7. Mwee muache ushilikina, mwee mnatafuta utajili wamotono kulikomtafute utajili wambinguni??? Mmepoteya njia nyie

    ReplyDelete
  8. Mshamba uyo

    ReplyDelete
  9. baraka zinatoka kwa Mungu,na sio kwa dokta kamdege.tapeli tu huyu

    ReplyDelete
  10. Dockta, umevurugwa ww Acha uchizi.

    ReplyDelete
  11. negro peligro6 May 2014 at 14:58

    Mamae zake mwambie kama ana uwezo aniroge mimi....

    ReplyDelete
  12. Upumbafu ndiyo kama huu inamaana yeye ndo alikuwa anatunga nyimbo na kuperfom jukwaani kwa kuimba?

    ReplyDelete
  13. Duh,useles witchdoctor

    ReplyDelete
  14. na wewe kamdege utang'ara miaka mingap ..?bwege kwel weye.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad