MAJANGA! Mshiriki wa Miss Kiswahili 2009, Rehema Fabian ameonekana hamnazo baada ya kutupia picha ya nusu utupu katika mtandao wa kijamii wa Instagram kisha kuambulia mvua ya matusi.
Picha hiyo ilimuonesha akiwa amejiziba usoni na kuacha wazi sehemu kubwa ya mwili wake ambapo baadhi ya wafuasi wa mtandao huo walimkalisha kwa kumpa za chembe..
“Huwezi kuwa mtu unayejiheshimu katika jamii halafu ukatupia picha ya namna hii katika mtandao wa kijamii,” alichangia mmoja wa wafuasi wa Instagram.
eh!!!!!
ReplyDeletebiashara ni matangazo
ReplyDeletekwani c yupo china anauza, ndo kazi yake... Yan dada mrembo unakosa akili ya kubuni cha kufanya unabak kujipiga picha za uchi na kuuza nyapu,
ReplyDeletekwani si alipatwa na kichaa,kapona?
ReplyDeletekiukweli mnatia kichefuchefu unamuonyesha nani name kipi in kipya,huo no uzuzu
ReplyDelete