Miss Atupia Picha Za Nusu Utupu Instagram, Ni Rehema Fabian Aambulia Matusi!

MAJANGA! Mshiriki wa Miss Kiswahili 2009, Rehema Fabian ameonekana hamnazo baada ya kutupia picha ya nusu utupu katika mtandao wa kijamii wa Instagram kisha kuambulia mvua ya matusi.

Picha hiyo ilimuonesha akiwa amejiziba usoni na kuacha wazi sehemu kubwa ya mwili wake ambapo baadhi ya wafuasi wa mtandao huo walimkalisha kwa kumpa za chembe..

“Huwezi kuwa mtu unayejiheshimu katika jamii halafu ukatupia picha ya namna hii katika mtandao wa kijamii,” alichangia mmoja wa wafuasi wa Instagram.


Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. biashara ni matangazo

    ReplyDelete
  2. kwani c yupo china anauza, ndo kazi yake... Yan dada mrembo unakosa akili ya kubuni cha kufanya unabak kujipiga picha za uchi na kuuza nyapu,

    ReplyDelete
  3. kwani si alipatwa na kichaa,kapona?

    ReplyDelete
  4. kiukweli mnatia kichefuchefu unamuonyesha nani name kipi in kipya,huo no uzuzu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad