Jamani jumatano majira ya saa tisa usiku mke wangu amejifungua.
Si masihala, amezaliwa mtoto mzungu kabisaaa ila amefanana kila kitu na mimi (copy kabisa).
Hii ni hali ya kawaida? Ukoo wetu hamna mzungu kabisa wala half cast. Nikifikiria naona kama nimeliwa hivi ila tatizo ni kwamba mtoto amefanana sana namimi kiukweli. Tayari nimeanza kuwa na wakati mgumu baadhi ya ndugu na marafiki kuongea maneno pembeni.
Naombeni mawazo ya kujenga jamani. Asanteni.
Kapime dna
ReplyDeleteivi izi stori uwa za kweli au? uyo ni mtoto au mdoli kha.
ReplyDeleteBonge la mdoli alafu huu uongo umerudiwa tena admin ameishiwa habari.
ReplyDeleteWew wacha kujidanganya hujafanana nae ht ki2 kimoja ushapigwa bao.
ReplyDeletembona n mdoli?acha ukuma wewe
ReplyDeletehii habari imerudiwa ni ya kama miaka mitatu ni jamaa mnaijeria anaishi marekani. naona sasa umeishiwa adm.
ReplyDeleteHabari ya kitambo sana hii miaka kadhaa. Hata mtoto enda shule
ReplyDeleteachen uongo hyo pcha mmeiedt ccsyo maduwanzi
ReplyDelete