MKE WANGU: Amezaa Mtoto Mzungu

Jamani jumatano majira ya saa tisa usiku mke wangu amejifungua.
Si masihala, amezaliwa mtoto mzungu kabisaaa ila amefanana kila kitu na mimi (copy kabisa).
Hii ni hali ya kawaida? Ukoo wetu hamna mzungu kabisa wala half cast. Nikifikiria naona kama nimeliwa hivi ila tatizo ni kwamba mtoto amefanana sana namimi kiukweli. Tayari nimeanza kuwa na wakati mgumu baadhi ya ndugu na marafiki kuongea maneno pembeni.

Naombeni mawazo ya kujenga jamani. Asanteni.
Tags

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ivi izi stori uwa za kweli au? uyo ni mtoto au mdoli kha.

    ReplyDelete
  2. Bonge la mdoli alafu huu uongo umerudiwa tena admin ameishiwa habari.

    ReplyDelete
  3. Wew wacha kujidanganya hujafanana nae ht ki2 kimoja ushapigwa bao.

    ReplyDelete
  4. mbona n mdoli?acha ukuma wewe

    ReplyDelete
  5. hii habari imerudiwa ni ya kama miaka mitatu ni jamaa mnaijeria anaishi marekani. naona sasa umeishiwa adm.

    ReplyDelete
  6. Habari ya kitambo sana hii miaka kadhaa. Hata mtoto enda shule

    ReplyDelete
  7. achen uongo hyo pcha mmeiedt ccsyo maduwanzi

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad