Mke Wangu Anakojoa Kitandani...Kila Siku Anavaa Pampasi Usiku

The situation is so embarrassing that she wears diapers to sleep. She blames it on the 3 kids we have but I do not believe this. True she was not like this when we got married, the first time she wet the bed was the week we found out she was pregnant with our first child.

I can not even tell my family because they are not so fond of her and asking them for help will only make them hate her. I have advised her to see the Doctor but she says as long as she is able to wake up two times at night she will be fine. It is affecting our sexual life because I only see her as a bed wetter. I love her, please help me!

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. jamaa unashindwa kusolve tatizo mpk unaleta, na hasa zaid uyo ni mkeo, mjifunze kua na siri kwenye ndoa zenu loh

    ReplyDelete
  2. Kwani wakati unamuoa ulikuwa hujui au mlikutana baa mlete kwangu akae mwezi1 atarudi amepona ufanye fasta

    ReplyDelete
  3. mpk mnazaa watoto wa3 uyo c ameozesha godoro?, admin nawe uwe unaweka story za kueleweka sio kama hii ya kutengeneza

    ReplyDelete
  4. jamani hay mambo ya ndani kwanini kuanikana name kufedhehesha oooh so bad

    ReplyDelete
  5. aibu sana, mrudishe kwao akatibiwe .... Tutolee upuuz wenu, janaume zima huna siri unatoa siri za ndoa nje....msonyoooo

    ReplyDelete
  6. Hutumii akili ww mwanaume. Hili dogo unaomba ushaur je mengineyo? Labda anaota. Mpeleke akaombewe...huenda una hawara ndo anamroga mkeo ili umwache aolewe yey. Kuwa makini kichwa cha familia gan ww

    ReplyDelete
  7. kweli uyu mwanaume kilaza, ushauri sasa unaomba na mna watoto watatu, shame on you guy

    ReplyDelete
  8. Kwakuwa akili zako ni mbovu wacha nikusaidie ni hivi mtombe usiku kucha then uone kama atakojoa tena!yaani kila anapojisikia kulala wewe unamwamsha unamparamia sawa?dawa hio nakupa.

    ReplyDelete
  9. Mtafute huyu ni dr wakienyeji hilo si tatizo kwake namba zake ni 0686 303333

    ReplyDelete
  10. jamani mpaka anafikia hatua ya kuomba ushauri ujue ameshashindwa hebu muwe mnasaidia wenzenu nyie hapo ,mnamatatizo zaidi ya hayo ila mmeyakalia na mnaona sio tatizo kuweni makini Mungu hapendi kwa sababu alisema nawaumba mtu kwa mfano wa yeye sasa wewe ni mfano wa nani unayemtukana mwenzio

    ReplyDelete
  11. kama nitatizo la kawaida tu akachukue ndevu za mhindi alowekeke siku tatu kwenye maji achuje na anywe maji yake akikaribia kwenda kulala usiku atapona vinginevyo akaombewe kanisani isje ikawa ni pepo

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad