Mlela Kuoa Mwanamke Aliyemzidi Umri

STAA wa filamu Bongo, Yusuf Mlela ametoa kioja cha aina yake baada ya kufunguka kuwa akifika hatua ya kuingia kwenye ndoa anataka mwanamke atakayemzidi umri.

Tofauti na vijana wengine ambao wanapenda kuoa wake wadogo kwao, Mlela alisema anaamini mwanamke akimzidi umri ndoa itadumu na maisha yao yatakuwa mazuri kwani atakuwa tayari ameshakomaa kiakili na atakuwa na uwezo mkubwa wa kuiendesha familia.

“Nahitaji mwanamke anayenizidi umri na sitaki nimzidi mimi naamini huyo tutaelewana na ndoa itadumu, sitaki mwanamke ninayemzidi umri mimi maana itakuwa shida kwani sijapangilia hivyo,” alisema Mlela.
Na Gladness Mallya

Post a Comment

27 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Si mbaya nimtazamo wake

    ReplyDelete
  2. Mapenzi hayana umri Tafuta malaya wa kijijini Ndio anafaa atakupenda kwa thati

    ReplyDelete
  3. Msenge huyu jamaa anatafuta sugar mamy ili alelewe, mtazamo gani huo wa kipumbavu? Aache ujinga atafute mwanamke wa umri wake aoe! Pumbu zake!

    ReplyDelete
  4. sasa unamtukana kakosa nn jaman uwiii acha matus bac

    ReplyDelete
  5. marioo uyo... Afanye kazi ndo uanaume,,, izo dalili za kutafuta kulelewa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nakweli hapo anataka tu kusema akija mwanamke jimama lenye mkwanja yuko tayari kuolewa maisha ni magumu sana kwa wasanii ubishoo mwingi fedha nehii!

      Delete
  6. ni kweli mdau vijana wa siku hizi wanapenda kulelewa hana lolote kuwa ndoa itadumu anajua atanyenyekewa na kulelewa kama yai

    ReplyDelete
  7. mnaomponda mlela wote joto hasira mapovu juu yanawatoka halafu hakuna point! kwa waislamu mtume Mohamed mwenye alioa mke mwenye umri mkubwa kumzidi...na katika maisha ya sasa wanaume wengi wanalalamika kuwa wadada walio chini ya umri mara nyingi wanajitoaga fahamu sana, utakuta sio wavumilivu , anasa sana kuliko kufikiria ya kesho, n.k. wakati akimpata mtu aliymezidi umri anajjikuta wanakwenda sawa, na wanawake kwa asili wana power so, akishauri jambo lolote kwa mumewe ndo kinachofanyika, sasa kama ni mke mwenye busara, upendo na akili ina maana familia hiyo itakuwa mbali kimaendeleo wakati pia upendo ukitawala..na mwisho wa siku ni mtazamo wake...nimegundua wanaume wengi hapa bongo kuna baadhi ya wasanii wa kiume hawawapendi, ni wivu..mfano hata Diomond hapendwi na vijana wengi kwa vile ana mafanikio, ana demu mkali,(na wengine wengi wanamzimikia), so sishangai kama mnamponda Yusuf kwa sababu zenu binafsi shenzi zenu wote mlioponda..ndo kishasema sasa...hayooooooooooo..yaone kwanza.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Usikurupuke kusema eti atuwapendi!lazima kujiuliza katika umri mkubwa kama huo mwanamke hajaolewa inamaana kuna kitu sio bure!wewe vip sio unamwingiza mkenge mwenzio tu.

      Delete
  8. age aint nothing but a number

    ReplyDelete
  9. Mdau hapo juu 2:45 kwanza kumamayo zako, umeongea usenge kuanzia mwanzo mpaka mwisho, uaminifu unatokana na umri? sio tabia ya mtu? Pili kwa jinsi ulivyoelezea power ya mwanamke ukaiunganisha na umri unaonyesha ni jinsi gani na wewe ulivyokuwa na akili za ki-marioo kama huyu msenge mwenzio, katika ndoa haitakiwi power watu wanatakiwa kujadiliana kama mume na mke na kukubaliana au kutokukubaliana kwa hoja bila mmoja kutumia umri wake au jinsia yake. Kwani kuna wanawake wangapi wenye umri mkubwa wana tabia mbaya kuliko mabinti? Unatumia nini kufikiria?? sidhani hata kama unauwezo wa kufikiria kuma la mama yako.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Baerezeeeeeee mdau!huyo nae si marioo mwenzake ndio maana imemuuma kweli kuma nyoko awe mkubwa mdogo kama anatabia nzuri atakuanayo tu!sema huyo kamaind kwakuwa nae ndio waleeee!baby nimeona kuna jeans kali jamaa kafungua oooh kuna ufunguzi wa diamond tutaenda!kuma nyoko zako mtoto wa kiume jitume nyambafuuuu.

      Delete
    2. 3:28 huna akili yaan point zako znabebwa na matusi??,!!

      Delete
    3. Kapiga ikulu nini mdau?!

      Delete
  10. Wanaume wa kiafrica kwa kupenda dogodogo hao wadogo kwao huwaacha na familia na kuhamia kwa visichana...hongera kma ndio maamuzi yako na utaheshimu hisia zako sio 5yrs mbele ooooh umezeeka hatuendani mi bado kijana mradi uchepuke...

    ReplyDelete
  11. Huyo fala mla unga anatafuta kick. kaona hasikiki tena akaamua kutafuta namna ya kusikika.

    ReplyDelete
  12. We bwege nini?c uoe.matangazo ya nini.njaa zitawaua na huo umaarufu ushuzi

    ReplyDelete
  13. hela ya unga imemuishia anataka jmama limnunulie unga wa sembe

    ReplyDelete
  14. wewe mwenye akili umefuata nini huku kwenye udaku? kumamayo na wewe!

    ReplyDelete
  15. 3:28 anonny una joto hasira kishenzi...unawivu hatari..yani unamwonea wivu mwenzio had unajikuta unatukana..eti kuma ya mamayo we mama ako asingekuwa nayo angekuzaa...kama yusuf anatafuta jimama la kumlea basi bora hata yeye atakuwa marioo class ukute unatamani lakini we marioo choko huna pa kuanzia kinakuuma hilooooooooooooooo...lione kwanza

    ReplyDelete
  16. hata ivyo ni kweli maana hawa mabint bado maji ya moto bado wanapendwa kuzijua konga tofaut big up mdongo ang mie mwenyewe nnae ananizid miaka 2 na tuna watoto wawili

    ReplyDelete
  17. Na wewe kuma la mama ako

    ReplyDelete
  18. Uyo jamaa ananusu ukweli, mm kaoa mke nyenye umri ndogo kuliko mm, nimepata shida sana. kwa leo tumefikia kuacha. na amini sio vizuri kuoa mke mwenye umri mdogo

    ReplyDelete
  19. mtu anaekula unga anaonekana sn mlela yupo smart mno habari za unga walimzushia tu kuhusu kuoa mtu aliyemzidi umri sioni kwamba ndio sababu ya yeye kulelewa mbona sajuki alimuoa wastara amemzidi miaka 3 mlijua?na yy kusema aoe mtu aliyemzidi umri hajamaanisha mama mtu mzima km mlivyotafsiri watu wenye akili fupi!anaweza akaoa ht mtu aliyemzidi miaka 3 au 4 huyo atamlea vip acheni kutoa comment bila kufikiri big up mlela kwa uamuzi wako

    ReplyDelete
  20. kama utam upo wacha akomae na mabibi hao,raha jipe mwenyewe!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad