Mme Wangu Anatembea na Rafiki Yangu

Jamani nisaidieni nifanyaje maana kila siku nakuta sms za mapenzi kwny simu ya mume wngu. Amemsevu rafiki yangu jina lingine baada kupiga simu nikagundua ni namba ya rafiki yangu kipenzi tena wa Karibu Kabisa, Hapa Nimekosa Pozi Kabisa sijui Nianzie wapi na Niishie wapi Kibaya zaidi nilivyozidi kuchunguza nimekuta na picha za utupu za rafiki yangu huyo kwenye simu ya mume wangu akimuonesha jinsi alivyoumbika...

Naomba ushauri

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mumeo humpi kuma vizuri

    ReplyDelete
  2. Pole sana..kama unaudhibitisho wa kutosha nenden mkapime HIV km mkikuta wazma usimwache mmeo ila msisex baada ya miez3,mkikuta kuna tatzo mnywe dawa na mfuate ushaur wa doctor."Mchepuko sio deal baki njia kuu" by JACK

    ReplyDelete
  3. Pole sana fata ushauri wa jack na ujiangalie unamapungufu gani mpaka aende kwa rafiki yako.

    ReplyDelete
  4. Hiyo ni tamaa ya baadhi ya wanaume, kwani mpka hatua ya kufikia kumuoa alikuwa haja ona mapungufu ya huyu dada, cha msingi kaa na mmeo muongee na umkanye akiludia tena kamshitaki kwa wazazi wake!

    ReplyDelete
  5. Hilo Ni tatizo na yote husababishwa na ww mwenyewe kumwachia mpenzi wako au mchumba wako Kuwa karibu sana na rafiki yako na kwa kipindi kirefu mana siku moja utani au maneno huwa yanaisha unazani Nn kinatokea ndo hapo matamanio yanaingia usiogope bado unayo nafasi naimani rafiki yako hakuzidi kwa kitu jiulize umekosea wapi jipange ni ushauri wangu pia hata Wa jack is mbaya pia fanya hayo mama utaona matokeo yake

    ReplyDelete
  6. Punguza ubize au tafuta muda wa kukaa karibu na mwenzio,ukiona habadiriki mpige chini

    ReplyDelete
  7. Umpe kuma vizur

    ReplyDelete
  8. uyo mwanaume bedui lol

    ReplyDelete
  9. mpe kama ulivyokuwa unampa mwanzon yaan yote usim banie au ndowakina nyie nimechoka au sijisikii ?

    ReplyDelete
  10. Na huyo rafiki yako hio picha kama ni yake ameumbika kweli kuda dadadek!

    ReplyDelete
  11. Tatizo lenu mkiwa wachumba mnakuwa kama malaika, mkiolewa mnakuwa mashetani, jichunguze kwanza ww mwenyewe.

    ReplyDelete
  12. Kama una uhakika chukua picha yake mpelekee usipojipanga ntakupanga amtoe ista ataacha hyo tabia shenz zake hajaona wanaume wengine mpka atembee na shemeji yake?wanaume zao kujaribu jaribu tuu atakapoangukia ndo hapohapo

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad