Mrema Ampasha Mbowe: Sitaki uwaziri kivuli

Niaibu aibu kwa Mbowe kusema hata niteua uwaziri kivuli Mbowe alishaa kuwa nani katika nchi hii mm sitaki kuwa kivuli nataka uwaziri kamili 

Nimewahi kuwa NAIBU waziri mkuu na waziri Wa mambo ya ndani 

Kuniita kibaraka Wa ccm ni kunipaka matope kibaraka Wa ccm ni seifu Wa Zanzibar anayelipwa na ccm mpaka sasa

Chanzo TBC
Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Boya wakichaga wewe!unamwambia maalim seif ni ccm b nawakati umesahau hata wewe mwaka juzi ccm hao hao walikupeleka India mshenzi mkubwa nilikuwa nakuona mpiganaji kumbe uharo mtupu!kubali kuwa umeishiwa kisiasa punda wewe ndio maana sura kama uvungu wa pumbu shwaaini!

    ReplyDelete
    Replies
    1. na wewe ni binadamu alivyomrema hakupenda ni uze na ndio mwisho wake mungu anavyompangia je wewe wa kwako unaujua utakuaje, au utaenda kaburini ukiwa hauna hata miguu muongope mungu kama unamweleza ukweli kuhusu siasa mweleze lkn sio mkutukana na maumbile yake. hata hivyo mrema kazeka sasa ofcourse anawaachia vijana wachacharike yeye kamaliza anasubiri afe vizuri bac

      Delete
  2. MBONA KAMA ANATUMIA MKOROGO

    ReplyDelete
  3. Mrema nakusamehe bure kwa wivu wako dhidi ya Chadema.Mrema wewe ni scraper yaani chuma chakavu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sawa mdau,kutesa kwa zamu,mrema alitamba sana enzi zake ndo maana analamba matapishi yake.Chadema nomaaaaaaaaaaaa!

      Delete
  4. Huyu ni shushushu (usalama) wa ccm mpaka leo anaendlea kutumumiwa na hich chama cha machiz ccm....ashapoteza dira.. et uwazir nautaka ngoja kifu tuu saiv huna jipya..inahusu nn kitu kuambiwa ww kumtaja maalim sefu?? Ndo basha wako au ??

    ReplyDelete
  5. wewe hata uwaziri BUBU haukufai, ushachoka wewe kaka kimya, tulikuheshimu sana mrema, ni bora ukae kimya tu uendelee kuheshimika.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad