Msanii Bongo Movie"Rafiki Yangu Ndio Alinichomesha Nikafumaniwa na Boyfriend Wangu

Na Sakina Sahabani Msanii chipukizi kwenye filamu za kibongo Amina Salum a.k.a Tity Baby amefunguka chanzo cha kufumaniwa ni shoga yake kumchoma kwa boy wake. Akizungumza na Xdeejayz wiki iliyopita Amani ambae amecheza filamu ya Ngema na nyinginezo alisema" Maisha tu haya ila kiukweli rafiki yangu alinifanyia kitu kibaya kwa kunichoma kwa boyfriend wangu ambae ilibidi anioe naamini hakuna binadamu aliyekamilika" Alisema Amina
Source:Xdeejayz

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ndio ukome umalaya

    ReplyDelete
  2. Si ushukuru umeolewa ila ndio uache umalaya

    ReplyDelete
  3. Muvi star una chupi ya shilingi elfu mbili?

    ReplyDelete
  4. Mpumbav ww.so ulitaka uhun wako usjulikane...! Bora alivyokuacha na jichup lako la alfu moja...

    ReplyDelete
  5. Ni za buku hizo tena pengine katikati fiii

    ReplyDelete
  6. Na famba lake shingoni la mia tano, uchafu mtupu

    ReplyDelete
  7. pumbafu wee! kumbe malaya! unge mletea jamaa majanga heri umefumaniwa!

    ReplyDelete
  8. nywele za gharama chupi ya mia tano kweli malaya hamnazo,jamaa akupige chini uvae vichupi vyako vya jerojero vizuri

    ReplyDelete
  9. nywele za gharama chupi ya mia tano kweli malaya hamnazo,jamaa akupige chini uvae vichupi vyako vya jerojero vizuri

    ReplyDelete
    Replies
    1. hiyo ni buku na pungufu unaongea!ukome na umalaya wako madem wengine bwana yaan na umalaya wakufumaniwa na bado ulikuwa unataka ndoa?yaan we ndio shwain kwel!

      Delete
  10. yaan thaman ya hio chupi hata mwanangu hajawai kuivaa ..ipo chn sana hata huyoo bwana ake kama sio choka mbaya kifedha basi hamtunz kwa kumjua dem malaya

    ReplyDelete
  11. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  12. Nampongeza rafiki yako wewe sawa na mwizi jilaumu mwenyewe

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad