Mtangazaji wa Clouds Awaponda Kundi la Weusi, Weusi Wamjibu

Ni mtangazaji anaye host show ya Xxl na Bongo fleva Adamu mchomvu aka Baba jonii ambaye aliamuwa kuwaponda weusi kwenye show ya Xxl.

Baba jonii alitoa kauli kuwa hawajaitendea haki video yao ya GELE Kauli ya Adam Mchomu ilikua hivi “uknow now muziki unaeleweka na watu now day ‘s wanaelewa kwenye video ya Gele kuna sehemu hawaja tenda sawa kuna sini wame shoot kama wapo kwenye jangwa ambapo wao wali shoot ndani imean in dor ingekuwa poa sana wange skotia kwenye jangwa kabisa coz kuna majgwa mengi Arusha”. 
Tuliamua kumvutia waya Membar wa weusi John Saimon aka Joh makini ili kujibu tuhuma hizo 

Kauli ya Joh Makini ikawa hivi...
 ” Sisi kama weusi tuna wapa watu nafasi yakutoa maoni yao kwani tunapenda kukosolewa ili next time tusiweze kurudia kosa kwa jinsi Adamu alivyo ongea ni luksa kwani kila mtu ana jicho lake natuna waahidi watu tutazidi kutoa video nzuri
Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kwanza adamu ww unafanya mziki gani, bora ubaki kama mtangazaji na mziki waachie wenye vipaji vyao

    ReplyDelete
  2. Sasa si ametoa tu maoni yake , tatizo nini hapo au ushazoea kugombanaaa

    ReplyDelete
  3. Kwani mpaka amkosoe kwene media angeweza kumuita akamwambia ili asimuharibie soko that is unproffessional presenter

    ReplyDelete
    Replies
    1. Unajua maana ya proffesional presenter? Ni mara ngapi kina larry king,riz khan wanawachana live watu wanaowahoj? Kuchambua ni sehem muhim kwa presenters, na kwenye kuchambua, kuna mazuri yatasemwa na mabaya pia yatasemwa

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad