Mtangazaji wa TV Apigwa Busu Adimu Kutoka kwa Wema Sepetu...Hakulala Siku hiyo

Wema sepetu pamoja na kua talk of the town kwa kutoka na mkali wa Bongoflava Diamond Platnumz , lakini hachoki kuonesha upendo pia kwa rafiki zake wa karibu. Baada ya kupiga picha huku akimbusu manager wake  Martin Kadinda , sasa ni zamu ya Mtangazaji wa kipindi cha 5 Select ya East Africa TV (Channel 5) , Tonny Albert (tbway360) kupata upendo wa wema.
Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. madame hanaga maringo jaman

    ReplyDelete
  2. Meona eeeh hilo ni bsu la upendo

    ReplyDelete
  3. Malaya m,bovu tu huyo

    ReplyDelete
  4. kweli haringi hata mimi nataka looh...

    ReplyDelete
  5. Nitamtafuta tu huyo Malaya nami nichovye kidogo tu..

    ReplyDelete
  6. Admin una uhakika mwenzako hakulala????

    ReplyDelete
  7. eh jamani natamni ningekuwa mimi....wema jamani mbona nakulove mwenzio..alafu huyo mtangazi msenge kweli uwa nikichagua nyimbo anipigii..pumbu zake zinaukurutu

    ReplyDelete
  8. uwiiii nana , uyo mtangazaji uwa anajishaua sana, ubishoo kwa mengi.. Msonyooo

    ReplyDelete
  9. Hana malingo na hachaguii watu ndo mana watu wanamkubari sn sio hao malaya kina lulu na kina wolper hawana hata nyotaa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad