Amina Ngaluma ‘Japanese’ ni miongoni mwa waimbaji ambao waliipa umaarufu sana bendi ya African Revolution ‘Tam tam’ kupitia wimbo wa Mgumba na baadae kujiunga na bendi ya Double M Sound ambapo mpaka anafariki alikua nchini Thailand akifanya kazi na band ya Jambo Survivors.
Amina amefariki May 15 2014 saa sita mchana baada ya kuumwa kwa siku nne ambapo mume wake alipozungumza amesema kiongozi wa band yao huko Thailand alimwambia Amina alilazwa hospitali kutokana na maumivu makali ya kichwa.
RIP amina ngaluma.
ReplyDeleteMaskini apumzike kwa amani
ReplyDeletebwana umetoa bwana ametwaa jina lake litukuzwe
ReplyDeleteMungu tunaomba roho ya marehem uiweke mahala pema peponi AMEN by JACK
ReplyDeletejamani dengue hiyo
ReplyDelete