Mwanajeshi Apewa Kichapo Kikali na Askari wa Usalama!


Askari wa Usalama barabarani eneo la Makumbusho, Dar wakimpiga Dereva wa gari ambaye amejitambulisha kama mwanajeshi! Tukio hili limetokea mida ya saa 9 mchana huu. Bado haieleweki chanzo ni nini.

Je, unadhani hivi ndivyo askari wetu wanatakiwa kutekeleza majukumu yao?

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwakweli trafic wapale sayansi wanakerasana wanaruhusu magari
    upandemmoja saanzima,wakati kilamtu anaharakazake mwengine mmgonjwa waowanaona kunawatu waupande flani ni muhimu kuliko mwengine,kwakweli hawatendi haki,inawezekanapiandiochanzo chaugomvi.

    ReplyDelete
  2. UTII WA ASHERIA BILA SHURUTI[KAZI NZURI NAWAPONGEZA

    ReplyDelete
  3. Wasenge sana hao traffic minataka nijeniwagonge nagari wale wenye torch wanajificha alafu wanakimbilia barabarani

    ReplyDelete
  4. Xawa mpo kazin nami nikiwa kazini kwangu jino kwa jino ila angalien/kuwen makini mtakuja kung'olewa meno mshatuuzi JW Msifakamie mkazan maziwa zingine ni asasi_nimetii tu kazi yenu ila cjaamua ntakuja tembeza mkong'oto shauri zenu mrudi mmevimba.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad