Mwanamuzi wa Kenya Jaquar Aanza Maringo Agomea Mwaliko wa Kill Awards..Kisa Hichi Hapa

Post hii ni maalum kwa staa wa muziki wa Kenya anaetajwa kuingia kwenye TOP 5 ya Wasanii matajiri wa muziki wa kizazi kipya Afrika Mashariki huku orodha hiyo ikiwa na watu wengine kama Jose Chameleone.
Imefahamika kwamba Jaguar alikataa kuja kwenye tuzo za Kili 2014 alizokua nominated baada ya waandaaji kushindwa kufikia masharti aliyowapa na badala yake akaamua kwenda kuhudhuria harusi ya producer wa DNA aitwae Refigah.
Jaguar alitaka atumiwe ticket ya ndege ya business class, alitaka achukuliwe chumba kwenye hoteli ya nyota tano, apewe ulinzi popote atakapokwenda na vilevile apewe gari zuri la kifahari la kutembelea.
Kwenye sharti jingine Jaguar alitoa option kwa waandaaji na kuwaambia kama wangeshindwa kumpa ticket ya ndege basi walipaswa kuweka mafuta ili aje na ndege yake ndogo anayomiliki.

Alipohojiwa na ghafla.co.ke Jaguar alisema asingeweza kuhudhuria tukio ambalo asingepewa heshima aliyoitaka kama ambavyo huwa anaipata anapokwenda kwenye nchi nyingine katika matukio kama haya ndio maana ilikua bora ahudhurie harusi na kuongeza kwamba ‘nitahudhuria iwapo wataanza kuwa-treat vizuri wasanii wa Kenya’
Tuzo za KILI 2014 zilihudhuriwa na mastaa wawili wa Kenya ambao ni Wyre na Amani huku Uganda ikiwakilishwa na Jose Chameleone ambae ndio alitangazwa mshindi kwenye kipengele cha Afrika Mashariki.


Source Millard Ayo

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. negro peligro6 May 2014 at 14:53

    Dumbass...

    ReplyDelete
  2. kama ni kweli basi jamaa atakuwa hana tofauti na maadui wa mseveni, yaani unafuga mbwa unategemea kinyesi cha mlevi? alinunua ndege ya nini kama hana uwezo wa kujaza mafuta au ndo zile sifa za kijinga fyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

    ReplyDelete
  3. Msenge tu hana nyimbo yoyote kali labda ni kwakuwa hela ndio zinampa kiki tu!huyu hana tofaut na yule "dady im going"Prezoo hela ndio inawapa kiki mziki wana fosi tu!kuna mtu anaimba vizur kama wyre Kenya?

    ReplyDelete
  4. apeleke maringo kwa mama yake

    ReplyDelete
  5. Msiamin kila kinachoandikwa humu'utamchukia mtu bure'hakuna mtu muongo kama mweny hii safu

    ReplyDelete
  6. Halafu mambo mengine!!eti wamnunulie mafuta kama hawateweza kumnunulia tiketi!!kwa hiyo tiketi gharama zaidi kuliko tiketi.samahani lakini

    ReplyDelete
  7. Mwacheni alinge c anahelaaaaa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad