Mwezi wa Ajali,Dar Express Dar to Nairobi Imeanguka Wami

MWEZI WA AJALI:
Dar Express from Dar to Nairobi imeanguka Wami dakika chache zilizopita...
Kama kawa Wabongo badala ya kusaidia majeruhi wanatwanga picha mwanawane ili wawahi fesibuku...
Kizazi cha KANTANGAZE!
Habari Kamili Baadae 

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kwanza nawapa pole majeruhi wote wa ajali. lkn pia mvua bara bara zina teleza madreva wa mabasi punguzeni haraka ili mfanye maamuzi sahhi

    ReplyDelete
  2. asante mungu kama abiria wamepona.. mwandishi nawe eti''kizazi cha kantangaze" mwee

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad