Mwigizaji Sajenti Atia Aibu, Aenda Kitchen Party na Vazi la Kwenda Club

MWIGIZAJI Bongo Movies, Husna Idd ‘Sajent’ amewashangaza waalikwa baada ya kutinga na kivazi cha klabu kwenye kitchen party katika Ukumbi wa Mawela, Sinza jijini Dar.

Sajent alipoingia ukumbini aliwafanya watu wote kumgeukia huku baadhi wakihoji namna ambavyo wazazi wa biharusi watamtathmini.

Hata hivyo, mwenyewe hakujali kwani aliingia ameongozana na msanii mwenzake, Salma Jabu ‘Nisha’ ambaye walishikana kama mtu na matroni wake.
Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hiyo ajui kutofautisha vazi la disco na kwenye sherehe. Tumsaidie

    ReplyDelete
  2. ANATAKIWA APEWE SEMINA JISI YA KUTOFAUTICHA MAVAZI NA SEHEMU ZAKUVA

    ReplyDelete
  3. Malaya tu huyo

    ReplyDelete
  4. Mfirwaji tu,malaya wa karne huyo,kumamayo.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad