Nani Mkali Kwenye Kuigiza Riyama ally V/S Yvonne Cherry (Monalisa)

Unadhani kati ya mabinti hawa nani huwa anavaa uhusika halisi anapoigiza na anafaa kuvikwa taji la 'Bongo Movies Queen'.

Riyama ally V/S Yvonne Cherry (Monalisa)
Tags

Post a Comment

18 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Riyama mkali

    ReplyDelete
  2. Naona riyama anafaa kuvikwa taji

    ReplyDelete
  3. Monalisa big no riyama anaongoza

    ReplyDelete
  4. Riyama uko juu mdada

    ReplyDelete
  5. Hivi huyu monalisa kazeekaje! Sikugizi naina hajipendi kama zamani enzi zile za bongo,alikuwa mona mona kweli,saivi kwishney angalia yebo yebo maskini mle kichwani mwee huzuni

    ReplyDelete
    Replies
    1. unataka ajichubue ndiyo ujue anajipenda yuko po na unavyosema azeeki anaukubwa gan mona au sbb kaanza siku nyingi kuwa star

      Delete
  6. Riyama Ally yuko sawa kasabi.↑★

    ReplyDelete
  7. Riyama ally

    ReplyDelete
  8. Riyama yupo juuuuu.

    ReplyDelete
  9. riyama anajua, kipaji kiko hapo bila kuuliza

    ReplyDelete
  10. RIYAMA pa 1 sana mdada

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad