Ndoa Haina Mwenyewe Bana...Kama Unabisha Angalia Watu Wanao Oa na Kuolewa

Ukitaka Kujua NDOA HAINA mwenyewe angalia watu wanaoolewa na kuoa...Ni wale usiowategemea kabisaaaaaaaa
Ndoa haina Kanuni...Kwamba ukifuata Stage 1,Ukavuka Stage 2 basi unaqualify...WALAAAA
Kuna watu na Bikira zao(kama Mimi) na watu hawana habari nao kabisaaaaa
ILA kuna watu 'wametumika' mpaka Mshale wa Kilomita umeungua,hausomi,lakini kabla ya September mwaka huu, vidole vyao vitakua vinang'aa kwa bati takatifu la dhahabu
Watu wanaloga waolewe...UTASANDA
Wengine wanapretend ili Wawavutie watu flani...UTASUBIRI SANA
Ndoa ni Blessing from God na ni kitu kitakatifu...Ni Mpaka Mungu aaandike,aruhusu...HAINA MBINU
Just BE URSELF mtu akupende na akuoe kama ulivyo,Usimuonyeshe wewe ni Mwekundu ili akupende halafu aje agundue wewe ni wa Pink
UTAKUWA MJANE KIJANA BAADA YA 3YEARS!
By Seth De Jesus

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ni kwel ndoa n bahati tu ya m2.Hakuna kanuni wala series

    ReplyDelete
  2. ilo nalo neno

    ReplyDelete
  3. Duu asante sana maneno mazuri kweli hayo...

    ReplyDelete
  4. Nyoo bikira unayo wewe si ndio maana huolewi kwa kusema uongo hapo ni breack pumbu tu!nyoo kuna bikira siku izi labda ya ki hu ha!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad