Nimemfuma Katuma Picha ya Nusu Uchi kwa Mfanyakazi Mwenzie

Straight to the point, mpenzi wangu tupo pamoja mwaka wa 5 sasa, tunapendana, hatuna mikwaruzano na tunajaribugi ku solve matatizo yetu kwa umakini zaidi ili tuweze kukaa njia kuu.
On bed hajawahi kulala na mwanaume mwingine zaidi yangu mimi, nilikua wakwanza kwake..(natumai na wa mwisho..lol).
Lately alianza kuwa very busy na simu yake, sana sana watsapp..nikimuuiza anasema ni group tu(mpaka saa 9 usiku anaweza akawa online).
This weekend nilikaa nae geto nikawa na sync files za simu yake in my p.C ,nikafungua whatsapp images nakuangalia sent images kuna picha moja alipiga akiwa na kichupi (ipo nusu,chupi a miguu) ilikua sent ila sio kwangu...nilimbana na aka admit kweli kakosea na kujutia kweli kweli..inshort namimi nilichanganyikiwa ila yeye alizidi zaidi..
Nilimwambia aniache kwa mda niweze nikafikiria vizuri, na leo nilimtafuta na kumsamehe.

Sasa nimekuja kwenu apa mni shauri huyu kuku bandani nimuwekee some ground rules ama?
Binafsi nimemsamehe kwasababu najua nisingeweza kuishi na guilty ya kutomsamehe wakati yeye pia amenivumilia mengi sana pindi nilikua napitia mydrinking phase

NOTE: aliniambia same day asubuhi kabla sijafuma hiyo pic kwamba uyo co worker wake wamezoeana na anampaga company mda mwingi adi watu ofifin kwao wakaanza maneno ya chini ((alikua kama anajikosha kwakuwasema wafanyakazi wenzie wambeya))


Nimekuja apa kwenu kwasababu nahisi pia nahitaji councelling what to do next baada ya kumsamehe ..

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. uyo dada ni shida, kwa mtu anaejieshim na kumueshim partner wake , awez kutuma picha ya uchi kwa m.ume mwingine

    ReplyDelete
  2. kama kamtumia picha ujue na mzigo kashakula...mvumilie kwa sababu unampenda ila jua haupo peke yako.

    ReplyDelete
  3. Usiumize kichwa..achana nae,angalia ustarabu mwingine

    ReplyDelete
  4. thnk firxt bt kama unampenda endelea nae bt akr ka hatarudia

    ReplyDelete
  5. listen bro,kazi yako kwa mpenzi wako ni kumpenda na kumjali.muonyeshe misimamo yako na show her unamuamini.wanawake wasikuizi wengi wapoivo na mimi yamenikuta kwa mke wangu kama yako.but trust me i learnd from xperience.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad