Nisha Afunguka Sababu ya Kuachana na Ney wa Mitego Japo Alipenda Kuolewa Naye

Msanii wa maigizo Salama Jabu maarafu kama Nisha amefunguka na kueleza sababu kubwa iliyomfanya kusitisha penzi lake na mwanabongo flava Nay wa Mitego. Akiongea  Nisha alisema" Unajua Nay ndiye mwanaume pekee aliyefanikiwa kuuteka mtima wangu hadi leo hii sipata mwanaume anaejua mapenzi kama yeye lakini sasa nilikuwa napata shida sana kwake" Alisema Nisha Msanii huyo aliendelea kusema kuwa
" Unajua Nay kwenye maapenzi ni balaa anajua sana yani sikuamini kama ningekuja kuachana nae lakini kutokana na mazingira ya yule mtu sikuwa na jinsi nikaamua kumpigia chini" Alisema Hata hivyo Nisha alizitaja sababu kubwa  zilizopelekea kuchukua uamuzi huo ni pamoja na ukorofi wa mwanamuziki huyo pamoja na matusi matusi ndiyo maana alichukua maamuzi hayo magumu.

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. nay unarithi nyendo za dai?

    ReplyDelete
  2. lakin mi navyomuona na kumsikilizag nyimbo zake ni kweli huyo anaonekana ni mkorofi sana anawarushia wenzie vibomu alafu anajiita the true boy mkorofi huyooo.!!

    ReplyDelete
  3. Bangi hiyo yafanya kazi. Lakini kitandani mashamsham.raha simkorofi?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad